Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

Gen Z walianza vizuri ila kwenye kuharibu mali za watu na umma hapo wamechemka.
Wanalalamikia kupandishiwa kodi then wanachoma ofisi za umma ili zifanyiwe marekebisho kwa fedha kutoka wapi kama siyo kwao.
Nadhani dharau ya viongozi ndo imepelekea hayo...wanalalamikia muswada...wabunge kwa jeuri wanaupitisha...kama kwamba wanasema watatufanya nini...na vijana wanasema hiki ndicho tunachoweza kufanya! Na huenda wakapelekea hata nchi kupinduliwa!
 
Vijana wa kuandamana Tz ndio hawa kina Mwashambwa!
atakuja mbwa washamba kujibu kua👇

tuandamane kwaajili gani sasa wakati mama anatosha ametufikia watanzania wanyonge mama yetu mheshimiwa raisi Sami suluhu Hasan kipenzi chawatanzania anatosha kutuongoza tena hadi 2030🤣🤣🤣
 
Kajengni majengo huko eti kitenga uchumi , hao jamaa wakijua jengo la Tz siku ikitokea vurugu na TZ basi wanalichoma moto .
Wazo la mgalatia na serikali inaongozwa na mgalatia. Waache wajenge maana kwenye nyuso zenu upande wenu huwa hamkosei
 
atakuja mbwa washamba kujibu kua👇

tuandamane kwaajili gani sasa wakati mama anatosha ametufikia watanzania wanyonge mama yetu mheshimiwa raisi Sami suluhu Hasan kipenzi chawatanzania anatosha kutuongoza tena hadi 2030🤣🤣🤣
Lucas hawezi kuandika hivyo kama wewe!

Wewe hujui kuandika vizuri unachapia maandishi, unaonganisha maneno mawilimawili
 
Back
Top Bottom