Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

Nimeangalia video uliyoambatanisha sijaona mahali Mahakama ya upeo imechomwa moto ila nimesikia/nimeona habari ya moto uliowashwa Karibu na mahakama ya upeo.
 
Nadhani dharau ya viongozi ndo imepelekea hayo...wanalalamikia muswada...wabunge kwa jeuri wanaupitisha...kama kwamba wanasema watatufanya nini...na vijana wanasema hiki ndicho tunachoweza kufanya! Na huenda wakapelekea hata nchi kupinduliwa!
Hii Bongo hutosikia kwanza wakikugundua Wewe kimbelembele upo front line unakuja kuchomolewa usiku alafu kesho taarifa zinasoma umechukuliwa na watu waliojitambulisha km Askari alafu ukapotea huonekani sasa inaenda wiki alafu kimya kumbe ushapelekwa kwa Chatu
 
Gen Z walianza vizuri ila kwenye kuharibu mali za watu na umma hapo wamechemka.
Wanalalamikia kupandishiwa kodi then wanachoma ofisi za umma ili zifanyiwe marekebisho kwa fedha kutoka wapi kama siyo kwao.
Gen z Gen Z ndio nini accent huu ulimbukeni
 
Back
Top Bottom