Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi siyo mshabiki wa Trump kivile ila haki ni haki tu. Hata mtu nisiyemkubali naweza kuona pale anapoonewa na kupaza sauti yangu.safi kabisa, acha apambane maana jamaa ni mpambanaji kweli kweli
Hii ya Trump ilikuwa ni kesi ya hovyo sana kama zile kesi ambazo wapinzani wa Tanzania huwa wanabambikiwa.Ninaposoma taarifa kama hizi waga najiuliza, hivi majaji wa kitanzania pia wanasoma na kusikia hizi habari.❓❓
Je katika nchi kama Tanzania pia mpinzani mwenye nguvu anaweza kweli akashinda kesi kama hiyo na akaruhusiwa kweli kugombea urais dhidi ya chama dhalimu kama ccm ❓❓
Sisi bado sana kwa kila kitu, sio mahakama, sio bunge na wala sio serikali na ninachoweza kusema tu ni kwamba ngoja tuendelee kukimbizana na mwenge kwa sababu ndilo tukio pekee tunalolifanya ambalo hakuna nchi yoyote duniani inafanya.
He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021.
On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!"
Trump is the frontrunner for the Republican nomination to challenge Democratic President Joe Biden in November's US election.
His only remaining rival for his party's nomination is former South Carolina governor, Nikki Haley.
Source: Donald Trump restored to Colorado ballot after Supreme Court rejects he was accountable for Capitol riots
Naona uwezekano wa Trump kurudi White House kwa sababu kusema ukweli Biden amechoka sana. Ni bora tu angepumzika apishe Democratic mwingine apambane na Trump.Mimi siyo mshabiki wa Trump kivile ila haki ni haki tu. Hata mtu nisiyemkubali naweza kuona pale anapoonewa na kupaza sauti yangu.
Safi sana US Supreme Court.
Democrats wanataka kuharibu demokrasia ya Marekani.Nimefurahi sana, ingawa mimi si mshabiki wa Trump.
Ila, naipenda demokrasia kuliko nisivyompenda Trump.
Trump angekataliwa na mahakama kuwa kwenye ballot Colorado, hilo lingetia doa kubwa demokrasia ya Marekani. Ingeonekana kuwa, mahakama za Marekani zinaweza kutumika kisiasa kumuondoa mgombea anayependwa na watu wengi sana asigombee urais.
Trump anatakiwa akataliwe au akubakiwe na wananchi wenyewe kwenye kura. Wananchi ndio wamuhukumu kwenye uchaguzi.
Trump angekataliwa na mahakama, hili lingedhoofisha demokrasia Marekani, kwa sababu hata kama asingeweza kuwa rais, siku zote angepata msemo kuwa kanyimwa urais kwa hila za mahakama iliyotumika kisiasa kuzima demokrasia ya matakwa ya Wamarekani.
Nilikuwa nataka sana Trump asizuiwe na mahakama, kama kushinda au kushindwa urais wa Marekani, itokee kwa kura za Wamarekani.
Donald Trump is also making himself vulnerable for allowing grounds for these cases.Democrats wanataka kuharibu demokrasia ya Marekani.
Wanatumia sheria kumnyanyasa Trump. Hii si sawa hata kidogo.
Wamemfungulia makesi kibao! Letitia James na Alvin Bragg wamemfungulia kesi za kizushi tu ambazo zitakuwa thrown out on appeal.
Fani Willis in Georgia kesi yake naye dhidi ya Trump ishaingia doa kubwa sana.
Wote hao ni Democrats.
Halafu cha kushangaza, kesi zote hizi timing yake inatia shaka sana.
Iweje kesi zote hizi zifunguliwe katika muda unaoendana na uchaguzi mkuu wa Marekani 2024?
Hii lawfare dhidi ya Trump haikubaliki kabisa.
Democrats wa Marekani wanafanya mambo utadhani wanafundishwa na CCM juu ya kuwanyanyasa wapinzani wa kisiasa!
CCM ina tabia ya kuwaengua wagombeaji wa vyama vya upinzani.
How is that any different from what the Democrats are doing to Trump?
Mfano hii kesi iliyoamuliwa juzi NY.Donald Trump is also making himself vulnerable for allowing grounds for these cases.
Mimi sikatai Trump kushitakiwa na kuzuiwa kugombea urais kwa sababu mashitaka hayana hoja, au yamekaa kisiasa. Mashitaka yana hoja, na kuwa kisiasa au kutokuwa ya kisiasa si kitu muhimu, kitu muhimu ni, je, mashitaka yana grounds?
Na yana grounds. Hivyo, sina matatizo na mashitaka yenye grounds.
Tatizo langu ni kwamba kuna jambo la muhimu zaidi ya sheria, hili ni suala la demokrasia, na hata Supreme Court waneona hilo.
Kama ku inflate thamani ya nyumba ili kupata mikopo mikubwa ni fraud, point zako 1,2,3, na 4 haziondoki kosa hilo.Mfano hii kesi iliyoamuliwa juzi NY.
Kwamba eti Trump alifanya fraud kwa kuzidisha thamani ya majengo ili apata mikopo mikubwa toka kwenye mabenki.
1. Wafanyabiashara wengi tu huwa wana overinflate thamani ya mali zao.
2. Ukienda kuomba mkopo benki, na wao wanafanya due diligence yao kuona kama kweli mali zako zina thamani unayodai.
3. Trump alipewa hiyo mikopo na hizo benki.
4. Hiyo mikopo aliilipa na riba juu.
Sasa shida iko wapi hapo? Nani ni victim wa udanganyifu wake?
Kwenye kesi hayo mabenki yaliyompa mikopo yali testify kwamba hayana shida na Trump na kwamba yapo tayari kufanya naye kazi tena.
Sasa Letitia James alifungua kesi ya nini?
Na ndo maana hiyo kesi itatupiliwa mbali kwenye rufaa maana haina mbele wala nyuma!
Waendesha mashitaka wanachama wa Democratic Party hawana tofauti na waendesha mashitaka wa CCM.
Kumfungulia mtu mashitaka kisa tu hupendi siasa zake ni utovu wa busara.
mpinzani mwenye nguvu atatoka wapi Tanzania bana wewe🐒Ninaposoma taarifa kama hizi waga najiuliza, hivi majaji wa kitanzania pia wanasoma na kusikia hizi habari.❓❓
Je katika nchi kama Tanzania pia mpinzani mwenye nguvu anaweza kweli akashinda kesi kama hiyo na akaruhusiwa kweli kugombea urais dhidi ya chama dhalimu kama ccm ❓❓
Sisi bado sana kwa kila kitu, sio mahakama, sio bunge na wala sio serikali na ninachoweza kusema tu ni kwamba ngoja tuendelee kukimbizana na mwenge kwa sababu ndilo tukio pekee tunalolifanya ambalo hakuna nchi yoyote duniani inafanya.
Ukija Tanganyika, JAJI anapigiwa simu moja tu na Afisa Tarafa, anajinyea nyea na kuvuruga hukumu nzima kwa hofu.This is very good! A 9-0 unanimous decision.
You can’t use lawfare to defeat political opponents in a mature democracy!
Bora jamaa atawale tena Marekani ili dunia iepukane na hekaheka walizotudumbukiza DemocratsHe has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021.
On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!"
Trump is the frontrunner for the Republican nomination to challenge Democratic President Joe Biden in November's US election.
His only remaining rival for his party's nomination is former South Carolina governor, Nikki Haley.
Source: Donald Trump restored to Colorado ballot after Supreme Court rejects he was accountable for Capitol riots
Hakuna fraud hapo maana mabenki yana utaratibu wake. Yanafanya due diligence.Kama ku inflate thamani ya nyumba ili kupata mikopo mikubwa ni fraud, point zako 1,2,3, na 4 haziondoki kosa hilo.
Watanganyika wana utovu wa upeo.Waendesha mashtaka wanachama wa Democratic Party hawana tofauti na waendesha mashitaka wa CCM.
Kumfungulia mtu mashitaka kisa tu hupendi siasa zake ni utovu wa busara.