Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuamuru mwanahabari anayejitambulisha kama mwanaharakati huru, Cyprian Musiba kumlipa fidia ya Sh6 bilioni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe.
Hapo hata akiuza mali zake zote, auze familia na ukoo wake wote ajiuze na yeye mwenyewe hatoboi
 
shilingi imegeuka upande wa pili., nadhan hapa wale wanaotumwa kufanya kila kitu watakuwa wamejifunza jambo
Bado kale kanajiita kasemaji ka bendera🇹🇿yetu kalikosema mwenzake anatatuliwa skirt
 
Ndio faida ya kutumikia watu wajinga,amekubali kutumika kama tambara la deki kwa kudanganywa na vijisenti vichache masikini.
 
Yani hukumu kama huzi huwa za kisiasa sana

Wewe unamwambia mtu alipe 6B na hali unajua hawezi kabisa sasa unahukumu ili iweje??
Ili alipe ,hadhi yamembe ndoujue inagharama sikila mtu ukimchafua status zinalingana
 
Kwa lugha ya mtaani hakopesheki hata vikoba.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri. Kwahiyo mdai akimpeleka mdaiwa magereza mdai ndio anapata hasara tena kwa maana hiyo. Sheria ni ngumu sana
 
Sijui macho ya uzee haya...yaani toka mwanzo mi najua ni Mil 6 ala kumbe ni Bil 6...dogo kashaolewa town.
 

Si anyongwe tu mambo yaishe.
 
Hu
Huyu mwanaharakati mpumbavu alitakiwa atutetee sisiwavuvi tulioharibiwa malizetu halali kwa kuonewa kabisa aliendaelea kumsifu tu sasa alipe bila deni sema nchi yeti haina sheria ndoa za jinsia moja angeolewa deni likaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…