Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

Sipati picha hivi kama mzee kinana na mzee makamba wangefungua kesi za madai dhidi yake .ingekuwaje kwa huyu mwanaharakati?
 
Musiba mtu aliyekuwa akijibu maswali bila kulaza kipolo chochote, aisee maisha yanakwenda kasi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
🀣🀣🀣😊
 
Msiba hakuwa na akili kabisa!

Eti wewe Membe,kama kaka yako Kikwete alishindwa kukupitisha kua Rais,sasa hivi ndiyo utaweza?? Masikini huyu jamaa hakujua kwamba kuna kesho,tumbo lake ndiyo lilikua linamsumbua kwa njaa kali!


Musiba ni Msiba wa taifa---
 
Apewe tuzo kabisa au forbes wamwandike
 
Ukiipasua bulb,utakuwa gizani. Huyu mtu alikuwa anaandika highly classified intelligence reports. What have you got against that?
Membe alikuwa kwenye kashfa ya kupitisha hela airport. Lile swala liliisha vipi?
 
Aliemtuma kafa sasa atamsaidiaje labda awaombe sukuma gang wamsaidie
Sukuma gang wenyewe washapoteana kabisa baada ya kusambaratishwa. Kiufupi Musiba kaachiwa furushi na NNYA apambane nalo πŸ˜€
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . Heshimu watu, sponsor HUFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…