Mahakama Kuu ya Tanzania imelitaka Gazeti la The CITIZEN linalomilikiwa na Kampuni ya MWANANCHI kumlipa Ndugu Nehemia Mchechu (sasa Msajili wa Hazina) kiasi cha Shilingi Billioni Mbili za Kitanzania kutokana na Kumchafua kuwa ni Fisadi na ametumbuliwa na Rais Dkt. Magufuli katika Toleo lao la tarehe 23 Machi, 2018.
Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe Wiki hii
Ngoja na Mimi GENTAMYCINE nianze sasa Kuwakumbuka Wote walionichafua sehemu mbalimbali ili Niwashtaki na Mahakama Kuu ikiniuliza nataka Fidia ya Kiasi gani nitaje Shilingi Billioni 50 xa Kitanzania ili huu Umasikini wangu Ulionitukuka uwe ni Historia katika Maisha yangu.