Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

Kwa sasa kesi zote zinazowahusu mafisadi, ni lazima kushinda!

Majizi na mafisadi ndio wakati wao tena!

Huyo jamaa ni fisadi tu na iko hivyo hata akishinda kesi
 
Baada ya kusoma habari hii mchana nilipitiwa na usingizi nikaota mimi nimeteuliwa kuongoza shirika lenye ukwasi wa kutosha.

Nikaota nikiwaambia wanaogombania tenda kwangu kuwa kiegezo kikuu ni 10% Uswisi
Ndoto nyingine nikujitabiria.

umasikini tu.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imelitaka Gazeti la The CITIZEN linalomilikiwa na Kampuni ya MWANANCHI kumlipa Ndugu Nehemia Mchechu (sasa Msajili wa Hazina) kiasi cha Shilingi Billioni Mbili za Kitanzania kutokana na Kumchafua kuwa ni Fisadi na ametumbuliwa na Rais Dkt. Magufuli katika Toleo lao la tarehe 23 Machi, 2018.

Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe Wiki hii

Ngoja na Mimi GENTAMYCINE nianze sasa Kuwakumbuka Wote walionichafua sehemu mbalimbali ili Niwashtaki na Mahakama Kuu ikiniuliza nataka Fidia ya Kiasi gani nitaje Shilingi Billioni 50 xa Kitanzania ili huu Umasikini wangu Ulionitukuka uwe ni Historia katika Maisha yangu.
 
Back
Top Bottom