Mahakama yaamuru Lissu afike Mahakamani Desemba 19

Retired, Mahakama kazi yake kuangalia kesi tu iliyopo mbele yake .Wadhamini wajiandae kukamatwa na kuswekwa ndani

Ni sawa tu lakini Lisu asirudi kwa sasa kwenye nchi ambayo atapoteza uhai wake, hasa ukizingatia hizo mahakama haziko huru.
 
Kama mtu huwezi kwenda na mapigo ya muziki unaotumbuiza kwa wakati huo ni bora tu uwe mpenzi mtazamaji maana kinyume chake utaonekana kituko mbele ya wacheza muziki wenzako na kwa wapenzi watamazaji. Unakata tawi la mti huku ukiwa umekaa juu yake! So weird!
 
Hii ni moja ya amri mfu,isiyotekelezeka! Tujiulize,asipokuja siku hiyo itakuwaje? Yetu macho.
 
Hizi mahakama za kitumiwa na Jiwe hizi'
Haki ya Mungu niliumia sana siku nasikia redioni
Maagizo ya huyo hakimu khs Lisu.
Basi tu.
Mungu amlaani pmj n hao wanaozitumiA.
Hovyo sana.
 
Ni wazi kuwa mahakama haitambui tukio la Lissu kupigwa risasi inaona ni siasa tu zisizo na madhara kwa Lissu! Hebu tuangalie jaji aliyesema kwani ni uhai wa nani (who's life is it anyway) hukumu hii ilitolewa kwa mtu aliyekuwa akiishi kwamateso ya jeraha la ajali na akaamua kufungua kesi ili hosipitali iondoe vifaa vinavyomsaidia aishi, jaji alimpa ushindi mgonjwa aliyetaka afe kwa kusema who's life is it anyway, atakayekufa ni wewe ushauri yako. Hapa mahakama haijali usalama wa Lissu kwani haikutaka kuwauliza polisi kuhusu uchunguzi na upelelezi wa jaribio lile na kama akija itamlindaje kama raia wengine.
 
Tanzania si salama tena kama zaman, lisu abaki huko mpaka upepo ukae vizur, na sidhani kama atakanyaga huku kwa mda huu.
 
Mahakama imekuwa kama gari lisilo na dereva, breki, wala mwelekeo linapuyanga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…