Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaa kimeooooNi wale wale. Ikipangiwa Eliezer Mbuki Feleshi kuna kitu hapo?
Haina meno hiyo. Mgombea binafsi hadi leo ziii.Rufaa Mahakama ya Africa Mashariki? 🐼
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha kwamba waombaji hawapo chini ya Jeshi la Polisi.
Akitoa maamuzi hayo leo, Junatano Agosti 28.2024 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam Jaji Dyansobera amesema, "hakuna malezo yanayotoka kwa muombaji kwamba alishuhdia waombaji wakiwa wanashikiliwa na Polisi au kuwa kizuizini”.
Katika maelezo yake Jaji Dyansobera ameeleza kuwa inawezekana muapaji alishuhudia wakikamatwa lakini hakuna ushahidi ya kuwa Soka na wenzake wapo kizuizini (detained) au wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Chang’ombe, Dar es Salaam.
Pia Soma:
Katika hatua nyingine, Jaji Dyansobera ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kufanya uchunguzi ili kufahamu wako wapi Soka pamoja na wenzake huku akisisitiza ni wajibu kwa Jeshi hilo, pia ni matakwa ya sheria za kimataifa kwa chombo hicho cha usalama kufuatilia na kufahamu wako wapi raia ambao wamepotea"
- Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura
- Sakata la kutoweka Soka na wenzake, Serikali yasema haina uhakika iwapo wako Polisi
Mahakama inatoa amri kwa Polisi hasa mjibu maombi wa kwanza, mjibu maombi wa pili, mjibu maombi watatu, mjibu maombi wanne, na mjibu maombi watano kuchunguza uwepo wa hawa waombaji wako wapi” -Jaji Dyansobera.
JAMBO TV
Yaan, mtalibani hajiulizi Mara mbili mbili akiwa na kitu anacho kiamini yaan wanapenda kifo kuliko uhai..hawana masiala kwenye kudai haki..Hii nchi buana kama una hasira kama za watalbani unaweza kuchukua maamuzi magumu kwa Mahakama kuu au Bunge kwa upuuzi wanaofanya.
Yaani Mahakama inatoa statement ya kipuuzi namna hiyo? Soka Simu yake ilikuwa inashikiliwa na polisi kwa muda mrefu sana halafu alivyokamatwa Simu hiyo hiyo ya Soka ikatuma meseji kwamba wasimtafute yeye yupo salama, ina maana hiyo simu ambayo wanaishikilia polisi mpaka leo walikabidhiwa WATEKAJI? Watekaji waliomteka Soka ndiyo hao hao waliomteka SATIVA, na sativa alivyotekwa alipelekwa Oysterbay...Raia anaweza kuteka mtu akaenda naye kumtesa Oysterbay polisi karakana?
Kitabu Cha Kabendera kimemaliza utata kuhusu Ben SaananeYaan, mtalibani hajiulizi Mara mbili mbili akiwa na kitu anacho kiamini yaan wanapenda kifo kuliko uhai..hawana masiala kwenye kudai haki..
Since August hadi leo kimya!!!Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha kwamba waombaji hawapo chini ya Jeshi la Polisi.
Akitoa maamuzi hayo leo, Junatano Agosti 28.2024 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam Jaji Dyansobera amesema, "hakuna malezo yanayotoka kwa muombaji kwamba alishuhdia waombaji wakiwa wanashikiliwa na Polisi au kuwa kizuizini”.
Katika maelezo yake Jaji Dyansobera ameeleza kuwa inawezekana muapaji alishuhudia wakikamatwa lakini hakuna ushahidi ya kuwa Soka na wenzake wapo kizuizini (detained) au wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kituo cha Chang’ombe, Dar es Salaam.
Pia Soma:
Katika hatua nyingine, Jaji Dyansobera ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kufanya uchunguzi ili kufahamu wako wapi Soka pamoja na wenzake huku akisisitiza ni wajibu kwa Jeshi hilo, pia ni matakwa ya sheria za kimataifa kwa chombo hicho cha usalama kufuatilia na kufahamu wako wapi raia ambao wamepotea"
- Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura
- Sakata la kutoweka Soka na wenzake, Serikali yasema haina uhakika iwapo wako Polisi
Mahakama inatoa amri kwa Polisi hasa mjibu maombi wa kwanza, mjibu maombi wa pili, mjibu maombi watatu, mjibu maombi wanne, na mjibu maombi watano kuchunguza uwepo wa hawa waombaji wako wapi” -Jaji Dyansobera.
JAMBO TV
Sijakisomaa
Unaweza uka TU brief.