Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea

Ni wale wale. Ikipangiwa Eliezer Mbuki Feleshi kuna kitu hapo?
 
Hapo Mahakama imetupia udongo kaburini mara tatu.
 
Kwa uamuzi wa kijinga huu inafika muda unatamani uende somalia ukachukue mabomu unayavaa mwili mzima unaenda kujilipua Kwa Hawa viongozi watoa maamuzi ya hovyo Kwa watekaji
 
Ndugu Rais.

Leo siongei nawe kwa maneno mengi, Ila naongea kwa Aya ya Mwenyezi Mungu akimwambia Firauni awaachie wana wa Israel waende. LET MY PEOPLE GO.

Na mimi nakuagiza ndugu rais waachie akina Deusdedith Soka waende!, usishupaze shingo yasije yakakukuta kama yalivyomkuta Firauni, utawala wake kukatiliwa mbali!.

Ndugu Samia, labda nikueleze kitu kimoja, unaweza kumnyamazisha Soka mmoja, lakini huwezi kufunika na kuiziba spirit ya mwanadamu ya kutaka jambo fulani!.

Ngoja nikupe mfano utakaouelewa vizuri, Soka amepotezwa lakini kuna vijana kama huyu hapa chini kwenye video anaongea kwa staili na energy ileile kama ya Soka. Hiinaonyesha kuwa hata wasiojulkana wafanyeje, huwezi kupoteza sauti huru zote hata siku moja!. Nauliza Je Watapotezwa wangapi?. Nikuhakikishie tu, akipotezwa mmoja watakuja wengine. NI DHAMBI KUBWA KUJARIBU KUIFANYA SPIRIT HURU YA MWANADAMU ILIYOUMBWA NA MUNGU IWE DOCILE!.

SAMIA let GOD's PEOPLE GO!

Your browser is not able to display this video.
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.

Aidha, Bw. Osama bin Laden alipokea lawama nyingi Sana kutoka kwa Serikali ya Marekani na CIA baada ya kutekeleza mashambulizi yake ya kutumia ndege, mashambulizi yanayojulikana sana kwa jina la September Eleven ya Mwaka 2001. Katika kujibu mapigo ya lawama hizo Osama bin Laden aliwajibu Marekani hivi:-

"If you undermine our security, we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. The choice is yours."
 
Yaan, mtalibani hajiulizi Mara mbili mbili akiwa na kitu anacho kiamini yaan wanapenda kifo kuliko uhai..hawana masiala kwenye kudai haki..
 
Since August hadi leo kimya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…