Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakamaNilitarajia waelezee sababu za mashauri hayo kuchelewa, moja baada ya jingine, kwa yale ya mashekh wa Arusha,hasa ukizingatia mahakama in case management system, Kila ahirisho lazima litolewe sababu.
Hapa ndipo unaona waziwazi mahakama "ikijikumbatia" kwa kulazimisha yenyewe, sio kulazimishwa na DPP, mahakama imekuwa kama zezeta au limsukule.
Haya majitu SSH aangalie jinsi ya kuyashughulikia, ataunda tume mpaka atachoka.
#JumaMustgo
Kama upelelezi haujakamilika, wamejuaje kwamba hao wahusika Wana makosa? Kwa hiyo wameenda kutegeshea?Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama
Mahakama ina haki ya kufuta kesi ikiona haki ya msingi ya mtuhumiwa inaathirika. Mojawapo ni kesi kuchukua muda kupita kiasi na wakati huo huo yuko ndani. Haiwezi ikawa inamkubalia DPP maombi ya kuahirisha kesi kwa sababu zisizo za msingi ad infinitum. Mwaka mmoja tu ni too much, itakuwa miaka 10? Nakumbuka kuna Jaji aliwakaripia sana Jamhuri kwa kufanya mchezo huu huu kwenye kesi ya Lema na aliamua aachiliwe kwa dhamana.Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama
Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama