Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Ni watuhumiwa sasa unataka wafanywe nini?Huwa na shangaa sana serikali kuwaweka magaidi mahabusu,ni kupoteza ugali wa bure tu.
We never negotiate with terrorist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni watuhumiwa sasa unataka wafanywe nini?Huwa na shangaa sana serikali kuwaweka magaidi mahabusu,ni kupoteza ugali wa bure tu.
We never negotiate with terrorist
Mahakama zetu ni hopeless.Mahakama imesema haijashindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kwa sababu ya kukosa bajeti ya kusafirisha mashahidi na kwamba gharama hizo ziko chini ya Ofisi ya Taifa ya Mwendasha Mashtaka (DPP).
Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Mahakama imetaka wananchi kupuuza taarifa za upotoshaji ambazo imesema hazina nia njema na Mhimili wa Mahakama.
Ikumbukwe Siku za hivi kumeibuka mjadala kuhusina na washtakiwa wa makosa ya ugaidi zaidi ya 100 kudaiwa kukaa gerezani muda mrefu (miaka sita hadi kumi) bila mashauri yao kutolewa uamuzi mahakamani.
Magaidi au washukiwa wa ugaidi. Hii nchi haina haki.Huwa na shangaa sana serikali kuwaweka magaidi mahabusu,ni kupoteza ugali wa bure tu.
We never negotiate with terrorist
Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama
itoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama
Unafuta alafu wanawasubiri nje wanawakamata mnaanza kesi upya inachukua miaka mingine mingi. Kipi ni bora hapo?itoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.
Itatoaje onyo akati muda wa upelelezi kesi uko chini ya DPp jinai Haina ukuta ,labda mahakama iandamaneitoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.
MmmhItatoaje onyo akati muda wa upelelezi kesi uko chini ya DPp jinai Haina ukuta ,labda mahakama iandamane
Wahukumiwe na mahakamaNi watuhumiwa sasa unataka wafanywe nini?
Ukifahamu utendakazi wa Mahakama kuna mambo hautaweza kuyashangaa wala kuyafikiria.
Wenye kesi washindwe kufanya kesi yao alafi lawama ziende kwa Mahakama kwelii!?,
Itatoaje onyo akati muda wa upelelezi kesi uko chini ya DPp jinai Haina ukuta ,labda mahakama iandamane
Waliotoa taarifa hizo walikuwa na hoja kubwa ila Sasa taarifa ya mahakama inajibu hoja nzito kwa uwepesi kiasi kwamba tunaweza kusema haijajibu hoja au tubaki na hoja ya mwanzo Haina Hela.Mahakama imesema haijashindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kwa sababu ya kukosa bajeti ya kusafirisha mashahidi na kwamba gharama hizo ziko chini ya Ofisi ya Taifa ya Mwendasha Mashtaka (DPP).
Katika taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Mahakama imetaka wananchi kupuuza taarifa za upotoshaji ambazo imesema hazina nia njema na Mhimili wa Mahakama.
Ikumbukwe Siku za hivi kumeibuka mjadala kuhusina na washtakiwa wa makosa ya ugaidi zaidi ya 100 kudaiwa kukaa gerezani muda mrefu (miaka sita hadi kumi) bila mashauri yao kutolewa uamuzi mahakamani.
View attachment 2567464
Hujanielewa narudia tena.Mahakama ina uwezo wa kufuta kesi au kumuachia mtu kwa dhamana.