Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi

Mahakama zetu ni hopeless.
 
Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama

Mamlaka Ina uwezo wa kufuta kesi Kama muda utaisha kwa uzembe wa DPP. Tanzania mahakama hazijui wajibu. Unasikiliza kesi moja miaka sita?. Huoni una shida.
 
Sababu washasema ,mahakama haiendeshi kesi ni dpp hivyo ,ofisi ya DPp ndio ilaumiwe sio mahakama
itoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.
 
Mnasema aliyesambaza hizo taarifa hana nia njema na Mahakama, ila Mahakama ndio ina nia njema ya kutowapa haki zao kwa wakati watuhumiwa wa ugaidi? Kauli ya ajabu kabisa hii
 
Ukifahamu utendakazi wa Mahakama kuna mambo hautaweza kuyashangaa wala kuyafikiria.

Wenye kesi washindwe kufanya kesi yao alafu lawama ziende kwa Mahakama kwelii!?,
 
itoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.
Unafuta alafu wanawasubiri nje wanawakamata mnaanza kesi upya inachukua miaka mingine mingi. Kipi ni bora hapo?
 
itoe onyo muda na masharti kwa muendesha mashtaka kwamba wakizidi kuchelewa itafutwa.
Itatoaje onyo akati muda wa upelelezi kesi uko chini ya DPp jinai Haina ukuta ,labda mahakama iandamane
 
Kunanchi majaji ni buuure kabisa na mahakama nisufuri yaani sufuria lamasizi.
Mahakama ni taasisi inayofaa kuheshimiwa na mahakimu na majaji pia lakini hiyo nchi hao wameelemewa na siasa uchwara.
majaji wanajipendekeza kwa mhimili wa sirikali kama changu kwa pedeshee!!
I hate them from the bottom of my heart na kwenye hiyonchi siwezi mshauri mwanangu asomee hiyo kazi ya kuhukumu kinafki kwa kushinikizwa maana nikazi laana kuliko ile ilosemwa ya bodrabodra
 
Mahakama ina uwezo wa kufuta kesi au kumuachia mtu kwa dhamana.
Ukifahamu utendakazi wa Mahakama kuna mambo hautaweza kuyashangaa wala kuyafikiria.

Wenye kesi washindwe kufanya kesi yao alafi lawama ziende kwa Mahakama kwelii!?,
 
Mahakama ina uwezo wa kufuta kesi yoyote.
Taratibu za haki ni kuchunguza kwanza na kupata ushahidi wa kutosha ndipo unamkamata mtuhumiwa, sio unamkamata mtu halafu ndio unafanya uchunguzi.
Itatoaje onyo akati muda wa upelelezi kesi uko chini ya DPp jinai Haina ukuta ,labda mahakama iandamane
 
Waliotoa taarifa hizo walikuwa na hoja kubwa ila Sasa taarifa ya mahakama inajibu hoja nzito kwa uwepesi kiasi kwamba tunaweza kusema haijajibu hoja au tubaki na hoja ya mwanzo Haina Hela.


Matarajio yetu ni kuwa hoja mahakama Haina pesa ni uongo hivyo kinachochelewesha kesi kusomwa ni 1, 2,3 ....

Badala yake wamejibu tu sio kweli Sasa ukweli ni upi? Watu wamesota sana magerezani akina sabaya bado kesi haieleweki ukiachana na WA ugaidi ,

6years mtu Yuko kizuizini halafu anakuja kuachiwa kwa hoja DPP Hana Nia kuendelea na kesi ni udhalimu kabisa wa wazi.
 
Mahakama ina uwezo wa kufuta kesi au kumuachia mtu kwa dhamana.
Hujanielewa narudia tena.

Mahakama itafuta iyo kesi, then Jamhuri wanakukamata tena mnaanza kesi upya yaani kama mlishasikiliza mashahidi 5 sasa mnaanza kusikiliza mashahidi upyaa kama vilw hamkuwahi kusikiliza shahidi yoyote.

Nadhani ushapata picha kamili Mkuu. Hata wao wanafahamu hayo mazingira ndio maana unaona lawama lawama tu haeana meno ya kulazimisha jambo wenye kesi zao nje yataratibu za kisheria.

Kuhusu dhamana, fahamu kuwa kuna makosa hayana dhamana, na dhamana ni hadi pawe na maombi ya dhamana, ambayo pia yakipingwa zikaletwa hojahupewi hiyo dhamana na Mahakama haiwezi kulazimisha jambo.

Ipo hivi kimfumo Mahakama huwa haifahamu ugomvi wenu, inasubiri muiambie kisha itumie sheria kutafsiri na kutoa maamuzi.

Mfumo wa kiutendaji wa Mahakama ni complicated sana Mkuu. Ila naamini utapata picha kiasi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…