Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Hapo kwa heshima diamond anatakiwa apachike hapo mtoto mwingine chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dai hakuwai kukataa kuhudumia mkuu ila alichokataa ni gharama ya tsh ml 5 kila mwezi, yeye binafsi amedai hawezi kuimudu hata kama mtoto anaitwa PrinceDimond mpaka apelekwe mahakamani ndio anakubali kulipa child support.
Fundisho kwa waume za watu,muache kuzaa zaa ovyo,mnawapa wake zenu changamoto.
Hivi hujajua funzo lilipo tokea umeanza kufuatilia hii kesi?Sasa fundisho linatoka wapi apo?
Hiv inakuaje...unakua mkubwa unaskia matunzo yako wazaz walikwenda mahakamani. Dah shida sana walimwengu.
Hivi hujajua funzo lilipo tokea umeanza kufuatilia hii kesi?
Hizi hekaheka za Mahakaman nachukulia kama kujichoresha na kujifedhehesha tu kwa huyo staa wenu maana angekituliza na mama watoto wake yasingemkuta!Pia usumbufu alioupata na atakaoendelea kuupa Zari kutokana na huyo staa wenu kuwa sperm donor naona ni kama kumkosea adabu mama watoto wake while angeweza kujizuia yasitokee.
Funzo kama una akili utaweza kujizuia na kuepusha yasiweze kukupata kama yaliyomkuta mwenzenu unless we nawe ni sperm donor haujali hisia za mwez wako.
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo kwa heshima diamond anatakiwa apachike hapo mtoto mwingine chap