mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Inawezekana kweli? mbona wanaonekana kama paka na chui?Wamalizane kifamilia tu.. Maana huyo mtoto anahitaji mdogo wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kweli? mbona wanaonekana kama paka na chui?Wamalizane kifamilia tu.. Maana huyo mtoto anahitaji mdogo wake!
Kama una ulijali wa kutosha ni bora kuwala tu hawa akina dada, maana muda utafika whether una pesa ama la itafikia wakati utawala kwa macho. Na wakishajua huna nguvu watafanya dharau ile mbaya. Mwanadada yeyote asiye ndugu yako nashauri atafunwe japokuwa kwa tahadhali ya maradhi.Jamaa anaboa sana na MIDRAMA yake ya NGONO. Ashajiona amekuwa SHUJAA sana wa MAISHA
Tatizo siyo kuwatafuta, tatizo ni promo, misifa na majivuno kibao utafikiri yeye ndo anajua sana kugonga, Au UFUSKA ni jambo la kujivunia sanaKama una ulijali wa kutosha ni bora kuwala tu hawa akina dada, maana muda utafika whether una pesa ama la itafikia wakati utawala kwa macho. Na wakishajua huna nguvu watafanya dharau ile mbaya. Mwanadada yeyote asiye ndugu yako nashauri atafunwe japokuwa kwa tahadhali ya maradhi.