DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
kwahiyo ngoma bado mbichi,Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar
Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo
Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.
NB: Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na maamuzi hayo ya Mahakam
Lissu naye sasa ni wakati wa kuachiwa na kulipwa fidia angalau bilioni 35.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar
Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo
Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.
NB: Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na maamuzi hayo ya Mahakam
Upuuzi mtupu, lengo ilikuwa ni kuwazuia cdm wasishiriki uchaguzi mkuu uliopita na wala sio huo upuuzi wanaosema hapo. Mahakama inatumika kipuuzi sana.Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar
Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo
Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.
NB: Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na maamuzi hayo ya Mahakam
Ted effect !! Na bado huu ni mwanzo lazima watanyooka.Au ni janja janja tu ila mchawi ni Ted?
Hata jf imefunguliwa, Wazungu wanatishaTaarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X.
Maoni yangu:
Asanteni sana US.
Afrika bado inahitaji kutawaliwa.Hata jf imefunguliwa, Wazungu wanatisha
hakikaSiasa za ccm zimejaa utoto mwingi sana. Wanatakiwa waende na wakati. Dunia imebadilika, wao wanadhani bado wananchi ni wale wale wa 1977!
Unacheza na mswada wa Cruz nani hataki kwenda ulaya.kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right?
ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi
ULAYA ANAWEZA KWENDA YOYOTE KWASABABA HAWANAGA HIZO NONSENSE KAMA ZA UNITED STATES OF AMERICAUnacheza na mswada wa Cruz nani hataki kwenda ulaya.
Asante wazungu ππππHata jf imefunguliwa, Wazungu wanatisha