Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA

kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:
Hamna kitu hapo, said issa atumie muda wake uliobaki katika dunia hii kumtumikia Muumba wake badala ya kupoteza muda
 
kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:
Wawachukue mawakili Nassoro Katuga na Lucas Mshamba watswasaidia sana.
Pia wadai waongezwe akina chalamila, Mwigulu,Kihongosi,Mafwele....
 
kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:
Ndugu hamnazo kwa kifupi, Serikali hupata hasara kwenye huu upuuzi wenua usio na manufaa na unaosababisha matumizi ya kodi za walala hoi;

●Matumizi ya fedha za umma kwenye uchunguzi, uendeshaji wa kesi, polisi, waendesha mashtaka na mahakama.

●Kupoteza muda wa taasisi za serikali kwa kesi ambayo mwisho wake inafutwa au kutupiliwa mbali.

●Kushuka kwa imani ya wananchi kwa mfumo wa haki na matumizi ya kodi za walalahoi.
 
Ndugu hamnazo jwa kifupi, serikali hupata hasara kwenye huu upuuzi wenua usio na manufaa na unaosababisha matumizi ya kodi za walala hoi;

●Matumizi ya fedha za umma kwenye uchunguzi, uendeshaji wa kesi, polisi, waendesha mashtaka na mahakama.

●Kupoteza muda wa taasisi za serikali kwa kesi ambayo mwisho wake inafutwa au kutupiliwa mbali.

●Kushuka kwa imani ya wananchi kwa mfumo wa haki na matumizi ya kodi za walalahoi.
Amini Mungu pekee gentleman acha kuendekeza upotoshaji, unafiki na ushirikina useless jukwaani,

huo mtanange wa wafuata mkumbo kwa wafuata mkumbo bado mbichi sana aise gentleman 🤣
 
kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:
Huo ujasiri hawana, hata CCM walioratibu hiyo kesi hawawezi kukubali tena kugharamia hiyo kesi.
BTW Mahakama imejivua nguo na kujiaibisha mbele ya Watanzania, Jaji mkuu Masaju amchukulie hatua stahiki Jaji Mwanga, Jaji Mwanga na waliomteua wameaibisha mahakama na mfumo wa haki pakubwa sana.

Vv
 
kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:
Screenshot_20260517-123033~2.png
Screenshot_20250729-090555~2.png
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Sasa ni wakati wa Saidi kwenda kufungua upya hii kesi yake kama kweli ana madai ya msingi.
Asipofanya hivyo tutajua ilikuwa kesi ya mchongo tu
wewe ungekuwa ni yeye ungeenda kuifungua ?
kila mtu mwenye akili timamu anajua hiyo ilikuwa ni kesi ya maelekezo kama ilivyo kesi ya sasa ya tundu lisu au ile ya mbowe ya ugaidi.
 
Upuuzi mtupu, lengo ilikuwa ni kuwazuia cdm wasishiriki uchaguzi mkuu uliopita na wala sio huo upuuzi wanaosema hapo. Mahakama inatumika kipuuzi sana.
Inasikitisha sana..
 
Back
Top Bottom