Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA

Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA

Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar

Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo

Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.

NB: Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na maamuzi hayo ya Mahakam

Baada ya ule mswada kule USA, jamaa wataachia kesi zote na Lissu watamtoa gerezani soon. Wanajaribu kutafuta pa kutokea.
 
Wale walikuwa watu ambao hamnazo, walikuwa chamani na waliendesha chama, walikuwa wapi kufungua kesi wakati bado wakiwa viongozi. Drama kings and queen. Ni wavuruga amani na umoja wa nchi.
waliofungua hiyo kesi dhidi ya chadema ni ma slay queen kutoka zanzibar waliokuwa kwenye mission maalumu ya kishoga
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar

28 May 2026
Nairobi, Kenya

Tundu Antipas Lissu fights from jail to intervene in explosive CHADEMA suit
1779972931237.jpeg
Photo : Tundu Antipas Lissu

Tundu Lissu fights from jail to intervene in explosive Chadema suit. ... Tanzania Court rejects CHADEMA Mainland-Zanzibar resource row case...

READ MORE : https://nation.africa/kenya/news/af...o-intervene-in-explosive-chadema-suit-5473400
 
kwahiyo ngoma bado mbichi,
walalamikaji wanaenda kurekebisha dosari hizo na kuirejesha kesi mahakamani right? :pedroP:

ni kama mtanange wa kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga,
Leo yanga anongoza ligi, kesho mambo yanabadilika Simba anongoza ligi:pedroP:

Hakuna kesi hapa tulishasema na mahakama inajirekebisha machoni mwa watanzznia kwa kujisafisha. Kwanza walimtoa jaji wa Mama ambaye alikuwa katumwa sasa wanajaribu kufuata sheria kwasababu imani imeshuka sana upande wa mahakama. Badala ya kupoteza muda na kesi za kijinga jinga CCM jikiteni kuongelea maendeleo zaidi, demokrasia na mjiandae kushinda kwa haki na sera na sio kuiba , kutumia machawa kama huyu ladyboy hapa na kuiba kura
 
Back
Top Bottom