Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA


Baada ya ule mswada kule USA, jamaa wataachia kesi zote na Lissu watamtoa gerezani soon. Wanajaribu kutafuta pa kutokea.
 
Wale walikuwa watu ambao hamnazo, walikuwa chamani na waliendesha chama, walikuwa wapi kufungua kesi wakati bado wakiwa viongozi. Drama kings and queen. Ni wavuruga amani na umoja wa nchi.
waliofungua hiyo kesi dhidi ya chadema ni ma slay queen kutoka zanzibar waliokuwa kwenye mission maalumu ya kishoga
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar

28 May 2026
Nairobi, Kenya

Tundu Antipas Lissu fights from jail to intervene in explosive CHADEMA suit

Photo : Tundu Antipas Lissu

Tundu Lissu fights from jail to intervene in explosive Chadema suit. ... Tanzania Court rejects CHADEMA Mainland-Zanzibar resource row case...

READ MORE : https://nation.africa/kenya/news/af...o-intervene-in-explosive-chadema-suit-5473400
 

Hakuna kesi hapa tulishasema na mahakama inajirekebisha machoni mwa watanzznia kwa kujisafisha. Kwanza walimtoa jaji wa Mama ambaye alikuwa katumwa sasa wanajaribu kufuata sheria kwasababu imani imeshuka sana upande wa mahakama. Badala ya kupoteza muda na kesi za kijinga jinga CCM jikiteni kuongelea maendeleo zaidi, demokrasia na mjiandae kushinda kwa haki na sera na sio kuiba , kutumia machawa kama huyu ladyboy hapa na kuiba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…