Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

Zaidi ya wana CHADEMA 300 wameachiliwa, Mbowe, Lema na mlolongo mrefu tu mwingine wa majina mengine, wameondolewa kesi kutoka mahakamani n.k

Si Ajabu.
 
Uteuzi utafuata siku sio nyingi, wale mliokua mna mdhihaki kwa nguvu jipangeni sawa sawa shetani amefunguliwa mnyororo rasmi
 
Muda si mrefu anakula teuzi huyo kijana
 
Ipo siku nchi hii , jinai zote zitashughulikiwa bila kuangalia sura ya mtu au kubebana ni swala la mda tu, na mda ni mwalim
 
Kuna mahakama tanzania? au kusanyiko la ccm
 
APEWE TEUZI MKUU WA MKOA WA DSM
 
Kufuatia uamuzi huo, sabaya Anakuwa hana shauri lolote linalomkabili mahakamani na anahitimisha rasmi leo safari ya kesi alizokuwa anakabiliana nazo kuanzia tarehe 04/06 /20201 alipopandishwa kizimbani mara ya kwanza.
Huenda anatengenezewa uteuzi
 
Dunia haipendi watenda haki. Hata hivyo haiwezekani kuwashinda wenye haki.

Very soon Ole Sabaya again. Most welcome sir! This is how the world is.
 
..sio Sabaya tu,hata aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,bwana Pima na wenzake wamefutiwa MASHTAKA ..tayari wale vijana waliokuwa wafanyakazi wa Jiji Arusha,Alex na Nuru,wamesharudi kazini..ila nakueleze DPP, kwa hili la Arusha umemchafua Waziri Mkuu
 
Lengai Ole Sabaya amewagalagaza Jamhuri na wapambe wao Chadema πŸ˜„πŸ˜„
 
Baba yake Sabaya ni mwenyekiti wa CCM, kila mara yuko KIA pamoja na Makonda kupokea viongozi wa SERIKALI wa kitaifa na hata katika kumbukumbu ya kitaifa ya Sokoine Monduli alikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…