Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

Good.

Hata mbowe naye aliachiwa.

Serikali ya Samia ina huruma sana.

Isiwafukuze wamasai ngorongoro tutaendelea kufurahi.

Maana sasa hivi tunabubujikwa na machozi kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira.
 
plea bargain unanunua uhuru wako ikiwepo usafi wa jina na mahakama kutokuwa na record ya mtuhumiwa . Ni moja ya sheria za kijinga na hovyo sana
Hana rekodi yoyote ya uhalifu kivipi wakati kuna kesi aliingia makubaliano na DPP kukiri makosa (plea bargaining agreement) na kulipa fidia.
 
Sabaya kaonewa sana huyu mwamba atarudi tena akiwa imara zaidi
 
Mtu afungwe bila makosa ,kafanya nini mpaka afungwe
Kajeruhi,kabaka,mwizi n.k inawezekana hata kuua kaua,siyo mtu kabisa yule sema ndiyo hivyo tu wakati mwingine sheria na haki uwa haviendi pamoja.
 
Kajeruhi,kabaka,mwizi n.k inawezekana hata kuua kaua,siyo mtu kabisa yule sema ndiyo hivyo tu wakati mwingine sheria na haki uwa haviendi pamoja.
Hizi ni habari za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…