and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hili suala lipo wazi, Mbowe yupo radhi ashirikiane na serikali ili Lissu asichukue uenyekiti, mi naona huyo mzee anachosema ni kweli, huyo si kichaa ameamka asubuhi akaanza kuropoka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui mahakama za Tanzania? Ijidhalilishe mara ngapi? Hii imepangwa na nia yake ni kumweka ndani ili kumkomoa. Mungu ni mkubwa na ametufungua macho kuhusu usaliti wa Mbowe la sivyo tungeendelea kuzungusha mikono tukidhani ni mpinzani...mahakama ikikubali sababu za serikali kupinga dhamana ya Dr.Slaa itakuwa imejidhalilisha.
Maskini tuna roho mbaya sana.Acha apambane na hali yake huko
Alipewa ubalozi akasepa nje,sasa anakuja kujifanya ana uchungu na nchi.
Wamtulize huko huko ndani
Sasa hivi ni kiongozi wa harakati za Mbowe must go..ni kampeni manager wa lissu.Shida ya huyu mzee ni mnafiki sana.. haeleweki yupo upande upi
Ha ha ha ha - sasa kama umechoka kuishi uraiani wafanyaje.Polisi wa bongo kichefuchefu,mtu kuishi lupango ndo usalama wake!
Kama Mwakibusi katia mguu kwenye hii kesi, kazi ipo waaaalahWakuu,
Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile kinachodaiwa hofu juu ya usalama wake.
Akizungumza baada ya kutoka mahakamani hapo Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa makosa yaliyofanya Dkt. Silaa kukamatwa ni kutoa taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii
"Alipost kwenye mtandao wa Twitter(X) akieleza kuna mawasiliano kati ya Rais(Dkt. Samia Suluhu Hassan) na mwamba(Freeman Mbowe) na mawasiliano hayo ni ya kupeana msaada wa kifedha kwa hiyo Jamhuri inasema makosa hayo ni ya uongo na kinyume na kifungu cha 16 cha sheria cha makosa ya mtandao"
Mwabukusi ameeleza kuwa baada ya walipofika mahakamani walikuta Jamhuri imewasilisha kiapo cha kupinga Dkt. Slaa asipewe dhamana kwa sababu ya usalama wake lakini mawakili wa upande wa utetezi hawakuwa wamepewa kiapo hicho hivyo kuhitaji muda wa kukifanyia kazi kiapo ili kuandaa kiapo kinzani.
Wakili Mwabukusi ameeleza kuwa kosa analotuhumiwa nalo Dkt. Slaa ni kosa ambalo lina dhamana na pia kuhusu ulinzi wake wale wanaohofiwa kumshambulia ndio wangekamatwa ili aweze kupewa dhamana na kuwa salama.
Aidha upande wa Jamhuri umesema upelelezi haukuwa umekamilika. Hata hivyo mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka jumatatu ya Januari 13, 2025.
View attachment 3197675
,============================================================
Hii ndio kauli aliyoisema Dkt Willbroad Slaa na kusababisha kukamatwa na Jeshi La Polisi
View attachment 3197697
Mpuuzi ina maana Slaa sna uchungu na CHADEMA kuliko CCM ambacho ni mwanachama.Wakuu,

anaagiza anachokitaka sioHuyo ni ViP.atawekwa mahabusu ya vIP ambayo ni kama Yuko nyumbani kwakwe
🤣🤣🤣🤣🤣Huyu mama amezidi kuwa dictator.Hata Adolf Hitler na mussolin hawakuwa wanakandamiza haki za binadamu kiwango hiki kama huyu mama anavyokandamiza
Athibitishe mahakamaniWakuu,
Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile kinachodaiwa hofu juu ya usalama wake.
Akizungumza baada ya kutoka mahakamani hapo Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa makosa yaliyofanya Dkt. Silaa kukamatwa ni kutoa taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii
"Alipost kwenye mtandao wa Twitter(X) akieleza kuna mawasiliano kati ya Rais(Dkt. Samia Suluhu Hassan) na mwamba(Freeman Mbowe) na mawasiliano hayo ni ya kupeana msaada wa kifedha kwa hiyo Jamhuri inasema makosa hayo ni ya uongo na kinyume na kifungu cha 16 cha sheria cha makosa ya mtandao"
Mwabukusi ameeleza kuwa baada ya walipofika mahakamani walikuta Jamhuri imewasilisha kiapo cha kupinga Dkt. Slaa asipewe dhamana kwa sababu ya usalama wake lakini mawakili wa upande wa utetezi hawakuwa wamepewa kiapo hicho hivyo kuhitaji muda wa kukifanyia kazi kiapo ili kuandaa kiapo kinzani.
Wakili Mwabukusi ameeleza kuwa kosa analotuhumiwa nalo Dkt. Slaa ni kosa ambalo lina dhamana na pia kuhusu ulinzi wake wale wanaohofiwa kumshambulia ndio wangekamatwa ili aweze kupewa dhamana na kuwa salama.
Aidha upande wa Jamhuri umesema upelelezi haukuwa umekamilika. Hata hivyo mahakama imeahirisha shauri hilo mpaka jumatatu ya Januari 13, 2025.
View attachment 3197675
,============================================================
Hii ndio kauli aliyoisema Dkt Willbroad Slaa na kusababisha kukamatwa na Jeshi La Polisi
View attachment 3197697
Mambo mengine yanatia mpaka aibu,inamaana kuwa Dr slaa atafia mahabusu na akitoka wanaotishia usalama wake watakuwa wamekufa?.Dkt. Slaa asipewe dhamana kwa sababu ya usalama wake
Yaani wanataka Dr.Slaa asitekwe na kuuliwa na wale waitwao "wasiojulikana"ndio maana wamemnyima dhamana, hivi hao wasiojulikana wanaofanya mauaji dhidi ya WAPINZANI ndio wanaogopwa hadi na MAHAKAMA?!Mbona maCHAWA wa mbogamboga wanaweka humu mitandaoni taarifa za uongo mara nyingi na hawakamatwi?!
nchi hii somo lasheria liwe la lazima.....pamoja na kitabu nilichonacho bila kurudi nikaaze kusoma Sheria ....mana naona napwayaHa ha ha ha - sasa kama umechoka kuishi uraiani wafanyaje.
Madikteta wa chadema katika sura yenu halisi kwa msio wapenda.Mwacheni apumzike kidogo huko maana yaonekana kachoka kukaa uraiani.
Umeshiba togwa la wapi unawajua hao mwamba ama unaharusha tu mdomoniHuyu mama amezidi kuwa dictator.Hata Adolf Hitler na mussolin hawakuwa wanakandamiza haki za binadamu kiwango hiki kama huyu mama anavyokandamiza