Pre GE2025 Mahakama yamnyima dhamana ya Dkt. Slaa kwa kile kinachodaiwa ni hofu ya usalama wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kuna usalama anayeipenda kazi na familia yake haswa akafanya upuuzi kama anaousema huyu jamaa kweli? Basi itakuwa sio usalama ni muhuni mmoja aliyaamua kumkaanga mzee wa watu na yeye akanasa ktk mtego
 
Kwa hiyo hao mawakili wa serikali, policcm na mahakimu wameamua kuchezea kodi za wananchi kwa lengo tu la kuwafurahisha wanasiasa!! Aisee kwa hali hii vijana wanatakiwa wajipange haswa kupambana na hawa wakoloni wetu weusi.
 
Samia Hana tofauti na Magufuli labda jinsia tu
 
Jumatatu anatoka Dr.Slaa anarudi kuratibu anguko la Mbowe tena kwa ufanisi zaidi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯✌️

 
Huyu mama amezidi kuwa dictator.Hata Adolf Hitler na mussolin hawakuwa wanakandamiza haki za binadamu kiwango hiki kama huyu mama anavyokandamiza
ni muhimu sana asipewe dhamana ili ashike adabu korokoroni huyo mzee mnafiki sana πŸ’
 
Reactions: Tui
Hapo ndipo inapokuja akili kuwa Tanzania kuna mambo mengi ya kuyaweka sawa badala ya kumshambulia Freeman Mbowe au Tundu Lissu ambao wanatumia haki yao iliyomo ndani ya katiba ya chama cha siasa CHADEMA juu ya kuwania uongozi.

Watanzania wameingia katika mtego wasioujua, ambao utaleta vikwazo vingi wao kuweza kujikomboa kama kundi kubwa la raia kutoka adha nyingi ambazo wanajidai hawazioni zaidi ya 'adha' kutoka kwa raia wawili wanaowania nafasi za uongozi ndani ya chama wameifanya ndiyo itawaokoa kutoka madhila mengi kama haki ya dhamana, mfumo haki jinai kuwa huru, njaa, umasikini, maradhi, elimu duni n.k
 
Kwa kuwa huko Lupango kuna Ugali wa Bure Mwacheni ndani aendelee na yeye kula Kodi zetu! kupitia Ugali ma Maharage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…