mlwilomlwilo
Member
- Dec 25, 2018
- 65
- 51
Umewaza nje ya 18, fuatilia makosa mengi anayofanya jamaa lkn kesi huwa zinaisha kirahisi sana.Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Issue ni kuwa ataweza!maana mwenzetu huyu inaonekana ni addicted kwa maneno ya uchochezi...
Umaskini wako usifikiri kila mtu maskini kama wewe, kuwa na adabu, jukwaa hili lina watu wapo dunia nzima.USA ya Kwa mtogole
Iyo nusu umeipima kuanzia wapi?sasa na wewe mbona umeandika comment nusu?
Vipi hakimu alitoa orodha ya matamshi ambayo ni uchochezi kisheria?
Wacha uwaza ujinga wewe, watu wamo safarikni kutafuta uhuru wa wengi dhidi ya watawala wachache waliohodhi freedom of speech na kuwazushia watu kesi za hapa na pale kwa madhumuni ya kujiimarisha kisiasa.Zito ajifunze sasa aache mambo ya kuzusha mtandaoni
Ipo siku ndumba zake za ujiji zitatunda kufanya kazi aozee jela
Zitto sasa hivi yuko naye hapa Bahari beach tunapiga story wewe baki na roho mbaya yako kama nyoka wa kijani
Hamna huyu alitaka kuukwepa uchaguzi wa mwezi october! Harafu aseme alifungwa na kuvipa story vyombo vya magharibi kuongea!Hako kajamaa kapigwe mvua hata 10
Mimi sijayaelewa haya maamuzi au kwa kuwa mimi si mtaaluma, kwa hiyo inamaana baada ya mwaka mmoja anaruhusiwa kuandika au kutuo maneno ya uchochezi? Msaada tafadhali.Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
View attachment 1462392
View attachment 1462266
Zitto kukata Rufaa dhidi ya hukumu yake
View attachment 1462393
Kaka nimeku Pm.Zito oyeeeee
You must be joking, Just tell him to try akione cha moto kilichomtoa kanga manyoya.Hopefully ni hukumu ya 'no string attached'.
Hayo yakoAmetegwa sasa ili anase vizuri, kwa hiyo atatakiwa kufunga kopo chafu, afungue lenye hewa
Continue to sink, you do not belong here.Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Ulichokiandika na uhalisia ni tofauti kabisa. Kama huna mwanga wa sheria usikurukuke kuandika utumbo wa aina hii.Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.
View attachment 1462392
View attachment 1462266
Zitto kukata Rufaa dhidi ya hukumu yake
View attachment 1462393
Wangepunguza at least miezi miwili bill kutoa uchochezi,,mwaka mzima huo Ni uonevu