Mahakama yataifisha mali za mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu

Mahakama yataifisha mali za mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa zitaifishwe. Kwamba mali zake zimepatikana kwa mapato ya kihalifu.
​
sm_1689173353.587337.jpg
Kwenye moja ya utetezi wake kuhusu kituo cha mafuta (petrol station) anayomiliki Dalitso alidai kwamba alipewa hicho kituo na baba yake kama zawadi ya siku ya kuzaliwa (birthday gift) wakati baba yake akiwa madarakani.

---
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha imeamuru kutaifishwa kwa magari 79 na mali 23 zinazomilikiwa na Dalitso Lungu, mtoto wa rais wa zamani Edgar Lungu, baada ya kuamua kuwa mali hizo zilitokana na uhalifu.

Mahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.

Majaji pia waliamua kuwa wahusika walioshikiliwa hawakuweza kuondoa mzigo wa ushahidi uliowekwa dhidi yao, kulingana na Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010.

Hukumu hiyo ilitolewa na majaji Pixxie Yangailo, Annie Ononuju na Ian Mabolobolo, walioketi kama majaji wa Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha.

Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa chini ya Kifungu cha 29 cha Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010, yaliyolenga kutaifishwa kwa mali za Dalitso Lungu bila kuwepo hukumu ya jinai.

Katika kiapo cha kupinga maombi hayo, Dalitso Lungu alidai utajiri wake haukutokana na mapato ya uhalifu, lakini Mahakama haikukubaliana na hoja hiyo.
​
===================For English Audience ===============​

DALITSO LUNGU Loses 79 Vehicles, 23 Properties

By Hannock Kasama

The Economic and Financial Crimes Court has ordered the forfeiture of 79 vehicles and 23 properties belonging to DALITSO LUNGU, the son of former President EDGAR LUNGU, after ruling that the assets were proceeds of crime.

The Court found that the Director of Public Prosecutions -DPP, GILBERT PHIRI, had successfully established a case for non-conviction forfeiture of the properties under the law.

Judges further ruled that the evidentiary burden placed on the interested parties had not been discharged, in accordance with the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010. The judgement was delivered by PIXXIE YANGAILO, ANNIE ONONUJU and IAN MABOLOBOLO, sitting as judges of the Economic and Financial Crimes Court.

The ruling follows an application brought under Section 29 of the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010, seeking the non-conviction forfeiture of DALITSO LUNGU’s assets. In an affidavit filed in opposition, DALITSO LUNGU stated that his wealth was not acquired from proceeds of crime, a position the Court did not accept.

SOURCE: ZNBC​
 
Mpaka Leo mabaki ya ECL yapo South Africa ambapo Familia inataka ECL azikwe South ile hali taifa linataka His remains ziwe returned home, Lawyers wa government wanasema Kwa level aliyofikia ECL basi sio family property Bali ni National property and his remains should be burried in Zambia

ECL pia aliacha Wosia mkali sana akimshutuma Hakainde for his wrongdoing

Hao watoto na familia ya Edgar Chakwera Lungu (ECL) wameonesha tabia Fulani za ajabu sana kwenye kuconduct msiba wa baba yao till to date ni zaidi ya miezi Saba tangu bana yao afariki and still the matter has not yet resolved Ivo case ipo SA kati ya family and Zambia

Ivo wajiandae sana kisaikolojia
 
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha (Kitengo cha Mahakama Kuu) imeamuru kutaifishwa kwa takribani magari 71 na mali 21 zinazomilikiwa na Dalitso, mwana wa rais wa zamani Edgar Lungu.

Amri hiyo ilitolewa kufuatia maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Gilbert Phiri, ambaye aliomba kutaifishwa kwa zaidi ya magari 71 ya Dalitso pamoja na mali mbalimbali, ikiwemo kituo cha mafuta.

Wakati wa usikilizwaji wa kesi, upande wa mashtaka uliieleza mahakama kuwa Dalitso alipata “utajiri usioelezeka” wa takribani K31 milioni, alikuwa na mali 16 zilizotawanyika kote nchini na magari 21 yaliyosajiliwa kwa jina lake.

Pia waliongeza kuwa baadhi ya magari ya kampuni yake yalikutwa yameegeshwa katika Ndozo Lodge, huku mengine yakiwa yametelekezwa Siavonga.
 
ludbA wa Zambia
 
Mpaka Leo mabaki ya ECL yapo South Africa ambapo Familia inataka ECL azikwe South ile hali taifa linataka His remains ziwe returned home, Lawyers wa government wanasema Kwa level aliyofikia ECL basi sio family property Bali ni National property and his remains should be burried in Zambia

ECL pia aliacha Wosia mkali sana akimshutuma Hakainde for his wrongdoing

Hao watoto na familia ya Edgar Chakwera Lungu (ECL) wameonesha tabia Fulani za ajabu sana kwenye kuconduct msiba wa baba yao till to date ni zaidi ya miezi Saba tangu bana yao afariki and still the matter has not yet resolved Ivo case ipo SA kati ya family and Zambia

Ivo wajiandae sana kisaikolojia
Familia ilimzika Johannesburg mkuu mwaka jana nina uhakika na hili kwa sababu wapo Wazambia maeneo yangu walifunga maduka wakidai wanaenda kumzika Rais wao..
 
Mpaka Leo mabaki ya ECL yapo South Africa ambapo Familia inataka ECL azikwe South ile hali taifa linataka His remains ziwe returned home, Lawyers wa government wanasema Kwa level aliyofikia ECL basi sio family property Bali ni National property and his remains should be burried in Zambia

ECL pia aliacha Wosia mkali sana akimshutuma Hakainde for his wrongdoing

Hao watoto na familia ya Edgar Chakwera Lungu (ECL) wameonesha tabia Fulani za ajabu sana kwenye kuconduct msiba wa baba yao till to date ni zaidi ya miezi Saba tangu bana yao afariki and still the matter has not yet resolved Ivo case ipo SA kati ya family and Zambia

Ivo wajiandae sana kisaikolojia
Hata huko Angola ilitokea hali kama hii baada ya Dos Santos kufariki.

Inashangaza sana.
 
Mtu ana miliki magari 72 halafu ni mtoto wa kiongozi wa Nchi na haoni hata haya kmmk ila Africa Ina laana

Viongozi wakiingia madarakani wanaiba sana mpaka wanajisahau wanaumiza watu wanawaua wana wapa kesi nzito nzito etc that's why Huwa hawataki kutoka madarakani cause wanajua fika siku wakiachia madaraka ni lazima wale walio waumiza na wao watataka kulipa kisasi na hata inapotokea wakatoka madarakani lazima waweke vibaraka wao madarakani ili wao wanapo kuwa nje ya ikulu wasifikwe na mabaya yoyote

Reference Mzee wa msoga
 
Back
Top Bottom