Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Ilifeli Mkuu, ECL bado hajazikwaFamilia ilimzika Johannesburg mkuu mwaka jana nina uhakika na hili kwa sababu wapo Wazambia maeneo yangu walifunga maduka wakidai wanaenda kumzika Rais wao..

Bado malawiNi ishu ya muda tu.
Kituo kinachofuata kitafikiwa.
Ila binadamu kwa tamaa!!!
Sasa magari 79 yote mtu mmoja ya nini unayaendesha wapi?huu ujinga utaukuta hapa Africa
Mwenge hauruki kijiji Inside10Bado malawi
Kina kina abdul, huyo ni chamtoto.Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa zitaifishwe. Kwamba mali zake zimepatikana kwa mapato ya kihalifu.
Kwenye moja ya utetezi wake kuhusu kituo cha mafuta (petrol station) anayomiliki Dalitso alidai kwamba alipewa hicho kituo na baba yake kama zawadi ya siku ya kuzaliwa (birthday gift) wakati baba yake akiwa madarakani.
---
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha imeamuru kutaifishwa kwa magari 79 na mali 23 zinazomilikiwa na Dalitso Lungu, mtoto wa rais wa zamani Edgar Lungu, baada ya kuamua kuwa mali hizo zilitokana na uhalifu.
Mahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.
Majaji pia waliamua kuwa wahusika walioshikiliwa hawakuweza kuondoa mzigo wa ushahidi uliowekwa dhidi yao, kulingana na Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010.
Hukumu hiyo ilitolewa na majaji Pixxie Yangailo, Annie Ononuju na Ian Mabolobolo, walioketi kama majaji wa Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha.
Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa chini ya Kifungu cha 29 cha Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010, yaliyolenga kutaifishwa kwa mali za Dalitso Lungu bila kuwepo hukumu ya jinai.
Katika kiapo cha kupinga maombi hayo, Dalitso Lungu alidai utajiri wake haukutokana na mapato ya uhalifu, lakini Mahakama haikukubaliana na hoja hiyo.
===================For English Audience ===============
DALITSO LUNGU Loses 79 Vehicles, 23 Properties
By Hannock Kasama
The Economic and Financial Crimes Court has ordered the forfeiture of 79 vehicles and 23 properties belonging to DALITSO LUNGU, the son of former President EDGAR LUNGU, after ruling that the assets were proceeds of crime.
The Court found that the Director of Public Prosecutions -DPP, GILBERT PHIRI, had successfully established a case for non-conviction forfeiture of the properties under the law.
Judges further ruled that the evidentiary burden placed on the interested parties had not been discharged, in accordance with the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010. The judgement was delivered by PIXXIE YANGAILO, ANNIE ONONUJU and IAN MABOLOBOLO, sitting as judges of the Economic and Financial Crimes Court.
The ruling follows an application brought under Section 29 of the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010, seeking the non-conviction forfeiture of DALITSO LUNGU’s assets. In an affidavit filed in opposition, DALITSO LUNGU stated that his wealth was not acquired from proceeds of crime, a position the Court did not accept.
SOURCE: ZNBC
Omba usikutane na hawa jamaa wana majina ya Phiri, lazima utatema bungo, ni ving'ang'anizi mwishoMahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.
Ni ushamba wa kiafrika. Ka wengine hizo fedha anaweka kwenye dhahabu au madini mengine halafu anatulia zake.Ila binadamu kwa tamaa!!!
Sasa magari 79 yote mtu mmoja ya nini unayaendesha wapi?huu ujinga utaukuta hapa Africa tu kwa washenzi washenzi.
Tanzania mda si mrefu wataoto maccm watatuambia mali wanazo miliki walizipataje. Wasifikiri watanganyika hatujui kodi zetu zinapotelea wapi.Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa zitaifishwe. Kwamba mali zake zimepatikana kwa mapato ya kihalifu.
Kwenye moja ya utetezi wake kuhusu kituo cha mafuta (petrol station) anayomiliki Dalitso alidai kwamba alipewa hicho kituo na baba yake kama zawadi ya siku ya kuzaliwa (birthday gift) wakati baba yake akiwa madarakani.
---
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha imeamuru kutaifishwa kwa magari 79 na mali 23 zinazomilikiwa na Dalitso Lungu, mtoto wa rais wa zamani Edgar Lungu, baada ya kuamua kuwa mali hizo zilitokana na uhalifu.
Mahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.
Majaji pia waliamua kuwa wahusika walioshikiliwa hawakuweza kuondoa mzigo wa ushahidi uliowekwa dhidi yao, kulingana na Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010.
Hukumu hiyo ilitolewa na majaji Pixxie Yangailo, Annie Ononuju na Ian Mabolobolo, walioketi kama majaji wa Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha.
Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa chini ya Kifungu cha 29 cha Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010, yaliyolenga kutaifishwa kwa mali za Dalitso Lungu bila kuwepo hukumu ya jinai.
Katika kiapo cha kupinga maombi hayo, Dalitso Lungu alidai utajiri wake haukutokana na mapato ya uhalifu, lakini Mahakama haikukubaliana na hoja hiyo.
===================For English Audience ===============
DALITSO LUNGU Loses 79 Vehicles, 23 Properties
By Hannock Kasama
The Economic and Financial Crimes Court has ordered the forfeiture of 79 vehicles and 23 properties belonging to DALITSO LUNGU, the son of former President EDGAR LUNGU, after ruling that the assets were proceeds of crime.
The Court found that the Director of Public Prosecutions -DPP, GILBERT PHIRI, had successfully established a case for non-conviction forfeiture of the properties under the law.
Judges further ruled that the evidentiary burden placed on the interested parties had not been discharged, in accordance with the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010. The judgement was delivered by PIXXIE YANGAILO, ANNIE ONONUJU and IAN MABOLOBOLO, sitting as judges of the Economic and Financial Crimes Court.
The ruling follows an application brought under Section 29 of the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010, seeking the non-conviction forfeiture of DALITSO LUNGU’s assets. In an affidavit filed in opposition, DALITSO LUNGU stated that his wealth was not acquired from proceeds of crime, a position the Court did not accept.
SOURCE: ZNBC
Bado Abduli, Makonda, Riziwan na wengine wengi waliotumia madaraka na majina ya wazazi wao kugema utajiri wa wizi. Shenzi kabisa.Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa zitaifishwe. Kwamba mali zake zimepatikana kwa mapato ya kihalifu.
Kwenye moja ya utetezi wake kuhusu kituo cha mafuta (petrol station) anayomiliki Dalitso alidai kwamba alipewa hicho kituo na baba yake kama zawadi ya siku ya kuzaliwa (birthday gift) wakati baba yake akiwa madarakani.
---
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha imeamuru kutaifishwa kwa magari 79 na mali 23 zinazomilikiwa na Dalitso Lungu, mtoto wa rais wa zamani Edgar Lungu, baada ya kuamua kuwa mali hizo zilitokana na uhalifu.
Mahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.
Majaji pia waliamua kuwa wahusika walioshikiliwa hawakuweza kuondoa mzigo wa ushahidi uliowekwa dhidi yao, kulingana na Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010.
Hukumu hiyo ilitolewa na majaji Pixxie Yangailo, Annie Ononuju na Ian Mabolobolo, walioketi kama majaji wa Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha.
Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa chini ya Kifungu cha 29 cha Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010, yaliyolenga kutaifishwa kwa mali za Dalitso Lungu bila kuwepo hukumu ya jinai.
Katika kiapo cha kupinga maombi hayo, Dalitso Lungu alidai utajiri wake haukutokana na mapato ya uhalifu, lakini Mahakama haikukubaliana na hoja hiyo.
===================For English Audience ===============
DALITSO LUNGU Loses 79 Vehicles, 23 Properties
By Hannock Kasama
The Economic and Financial Crimes Court has ordered the forfeiture of 79 vehicles and 23 properties belonging to DALITSO LUNGU, the son of former President EDGAR LUNGU, after ruling that the assets were proceeds of crime.
The Court found that the Director of Public Prosecutions -DPP, GILBERT PHIRI, had successfully established a case for non-conviction forfeiture of the properties under the law.
Judges further ruled that the evidentiary burden placed on the interested parties had not been discharged, in accordance with the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010. The judgement was delivered by PIXXIE YANGAILO, ANNIE ONONUJU and IAN MABOLOBOLO, sitting as judges of the Economic and Financial Crimes Court.
The ruling follows an application brought under Section 29 of the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010, seeking the non-conviction forfeiture of DALITSO LUNGU’s assets. In an affidavit filed in opposition, DALITSO LUNGU stated that his wealth was not acquired from proceeds of crime, a position the Court did not accept.
SOURCE: ZNBC
Hili liwe fundisho kwa Abudul Hafidh. Dawa yake ipo jikoni inaiva.Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa zitaifishwe. Kwamba mali zake zimepatikana kwa mapato ya kihalifu.
Kwenye moja ya utetezi wake kuhusu kituo cha mafuta (petrol station) anayomiliki Dalitso alidai kwamba alipewa hicho kituo na baba yake kama zawadi ya siku ya kuzaliwa (birthday gift) wakati baba yake akiwa madarakani.
---
Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha imeamuru kutaifishwa kwa magari 79 na mali 23 zinazomilikiwa na Dalitso Lungu, mtoto wa rais wa zamani Edgar Lungu, baada ya kuamua kuwa mali hizo zilitokana na uhalifu.
Mahakama ilibaini kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Gilbert Phiri, aliweza kuthibitisha kesi ya kutaifishwa kwa mali hizo bila kuwepo hukumu ya jinai, kwa mujibu wa sheria.
Majaji pia waliamua kuwa wahusika walioshikiliwa hawakuweza kuondoa mzigo wa ushahidi uliowekwa dhidi yao, kulingana na Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010.
Hukumu hiyo ilitolewa na majaji Pixxie Yangailo, Annie Ononuju na Ian Mabolobolo, walioketi kama majaji wa Mahakama ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Fedha.
Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa chini ya Kifungu cha 29 cha Sheria ya Kutaifisha Mapato ya Uhalifu Na. 19 ya mwaka 2010, yaliyolenga kutaifishwa kwa mali za Dalitso Lungu bila kuwepo hukumu ya jinai.
Katika kiapo cha kupinga maombi hayo, Dalitso Lungu alidai utajiri wake haukutokana na mapato ya uhalifu, lakini Mahakama haikukubaliana na hoja hiyo.
===================For English Audience ===============
DALITSO LUNGU Loses 79 Vehicles, 23 Properties
By Hannock Kasama
The Economic and Financial Crimes Court has ordered the forfeiture of 79 vehicles and 23 properties belonging to DALITSO LUNGU, the son of former President EDGAR LUNGU, after ruling that the assets were proceeds of crime.
The Court found that the Director of Public Prosecutions -DPP, GILBERT PHIRI, had successfully established a case for non-conviction forfeiture of the properties under the law.
Judges further ruled that the evidentiary burden placed on the interested parties had not been discharged, in accordance with the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010. The judgement was delivered by PIXXIE YANGAILO, ANNIE ONONUJU and IAN MABOLOBOLO, sitting as judges of the Economic and Financial Crimes Court.
The ruling follows an application brought under Section 29 of the Forfeiture of Proceeds of Crime Act No. 19 of 2010, seeking the non-conviction forfeiture of DALITSO LUNGU’s assets. In an affidavit filed in opposition, DALITSO LUNGU stated that his wealth was not acquired from proceeds of crime, a position the Court did not accept.
SOURCE: ZNBC
Ndo maana hapo UG museveni anapambana kwa kila namna mwanae Muhoozi aje kuwa successor wake!Sheria zinazofanya kazi ni za aliyeko madarakani leo.... Viongozi huwa wanajidanganya tuna kinga... mazafaka!
The same kwa Kagame anayemuandaa mwanae Ian kagameSheria zinazofanya kazi ni za aliyeko madarakani leo.... Viongozi huwa wanajidanganya tuna kinga... mazafaka!
Yes yes... na Kagame hatatoka mpaka mwanaye awe tayari, kuna kaka yake Ian anaitwa IvanThe same kwa Kagame anayemuandaa mwanae Ian kagame