Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Kama wasanii wataifuatilia kwa kina hii hukumu ya rufaa, wanapaswa kuanzia sasa kugomea tiGO kuendelea kutumia nyimbo zao kama ringtone kwa sababu inaonyesha kampuni hii imekubuhu kuvunja sheria za Hamiliki.

Mahakama Kuu kukubali kupokea rufaa nje ya muda wa kisheria ni kiashiria cha ufisadi kuhusika ktk mchakato huu... Najua game well played kwa kuipokea rufaa hiyo kupitia hukumu ya kuruhusu isikilizwe...
 
Hapo na akina AY na mwanaFA nao wakate rufaa tu, tena wadai 100B as naona wamehukumiwa kwa kakipengele kamoja kadogo!

Take them back, and let them pay high!
Wasikate rufaa wamepigwa pabaya.
 
Lolote lile linawezekana hapa Bongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…