Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

....Linda reputation yako kwa KUTODHULUMU JASHO LA WENGINE....

Mahakama ni kimbio la kila mmoja....

Unatumia CALLER TUNE za wanamuziki....unapiga pesa kwalo...wamelalamika unadai they tarnish ur image?!!!

Ok well if unasema madalali(CELLULANT) ndio waliotakiwa KULIPA (if so) why would you then paid following court verdict?!!!
Mwamba seems una masilahi na hii kesi umekomaa kinoma
 
Nyimbo huwa ina jina unique na mmiliki unique, in this case nyimbo ni ya Mwana Fa uniquely na ina jina la ‘usije mjini’, a unique name, hivyo hata mauziano kutoka kwa Mwana Fa kwenda kwa Cellulant kama yapo yatonyesha explicitly hizo unique details, huwezi kulinganisha na TV ambazo zinatengenezwa identical sets milioni 100 na kuuzwa duniani kote, hazina uniqueness, huo mfano wako haupo kabisa inline na hiki tunachozungumzia.
Kwenye kipindi cha "Salama na"....kinachorushwa "EATV" Mwana F.A anakiri kuwa waliamua kuwashtaki Tigo badala ya Cellulant kwasababu walijua Cellulant hawatakuwa na hela ya kuwalipa....hili we unalizungumziaje? na kama unaona uongo kipindi kipo U tube...kaangalie
 
Ahahahaha asee umeua
 
Lakini hivi Ni kweli huyo hakimu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?.
Mwana fa na ay kosa lao lipo wapi?
Ndiyo itasikilizwa upya kwenye Mahakama yenye uwezo was kusiliza hiyo kesi....Pesa wanatakiwa warudishe kwasababu hapo ni kama hayo maamuzi hayajawahi kufanyika..hivyo wanapaswa kurudisha pesa za watu kwani si halali yao tena...mechi inaanza upya bila bila.
 
Nimeona kichrkesho leo magazetini Tigo wameshinda kesi ya kina AY na Mbunge wetu pale Tanga kwa matumizi mabaya ya nyimbo zao

Ikumbukwe hii kampuni imekuwa ikitumia nyimbo za wasanii bila kulipa na hii hukumu ilirejesha heshima ya wasanii vs kampuni za simu.

Hio kesi Tigo walishashindwa na walishalipa bil 2.6

Leo hii Hakimu anasema warudishe hela zao. Hahahaa! Mh Hakimu hizo hela wazisahau tu kama mmewapa moyo itabaki historia ya dunia

Kila la kheri wasanii wetu
 
Lakini hivi Ni kweli huyo hakimu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?.
Mwana fa na ay kosa lao lipo wapi?
Hahaha! Hawana makosa ila wanasema "The court is not your mother" unadhani kwanini kuna mawakili....je unadhani Wakili wakina mwana FA hakulijua hilo? Tena wanajua wanadeal na Kampuni kubwa kama Tigo ina Mawakili wanaojielewa....kifupi kina FA wamewekewa mazingira magumu ya kupigwa kuanzia kwa wakili wao...bongo ngumu sana ndugu.
 
Kimsingi Tigo hawana shida na hiyo pesa (kama utaangalia faida na mtaji wao kwenye biashara) lakini wanakomalia hiyo kesi ili kulinda legacy na reputation yao kibiashara, ambayo ndio inawavutia wamiliki wake kuendelea kuweka pesa za kwenye hiyo kampuni hapa Tanzania.
I get your point lakini upande wa pili wa sarafu mbona haya makampuni ya simu huwa hayawalipi wasanii pesa kama hizo(billion2) kwenye kutangaza matangazo yao?

Wasanii wa mbele wanatajirika kupitia matangazo na endorsements lakini bongo unakuta kampuni kubwa kama Tigo/Voda lina bargain kumlipa Ommy dimpoz million5 afanye tangazo au watumie nyimbo yake.

Inshort haya makampuni pia kuna upigaji ndani yake la sivyo wasanii wangekuwa matajiri kupitia matangazo wanayoyafanyia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hivi Ni kweli huyo hakimu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?.
Mwana fa na ay kosa lao lipo wapi?
Basically you have a point, lakini kuna baadhi ya watu humu wanaodai wanaijua sheria wanasema jukumu la kujua mipaka ya majukumu ya kimahakama ni la wakili, hakimu halimuhusu.

Afterall pia inasemekana huyo hakimu alishadanja kitambo kidogo so hata wakisema hakimu awajibike(which legally wanasema is impossible kutokana na sababu tajwa hapo juu) haitowezekana because the man is late at the moment!
 
Wanataka kuwatapeli wenzao.
Mambo ya kesi Yana usumbufuuu Sana.
Hahaha! Hawana makosa ila wanasema "The court is not your mother" unadhani kwanini kuna mawakili....je unadhani Wakili wakina mwana FA hakulijua hilo? Tena wanajua wanadeal na Kampuni kubwa kama Tigo ina Mawakili wanaojielewa....kifupi kina FA wamewekewa mazingira magumu ya kupigwa kuanzia kwa wakili wao...bongo ngumu sana ndugu.
 
Duuh ebwana eeh.

Nimesoma hukumu ya huyo jaji wa mahakama kuu na hukumu nyingine tena kuhusiana swala hilo hilo,

Kuna uwezekano mkubwa kina AY wakashinda.
 
Duuh ebwana eeh.

Nimesoma hukumu ya huyo jaji wa mahakama kuu na hukumu nyingine tena kuhusiana swala hilo hilo,

Kuna uwezekano mkubwa kina AY wakashinda.
Kesi gani umesoma mkuu?..tunaomba nasi tuipitie...kama inawekana lakini.
 
Back
Top Bottom