Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ninayo ngoja niangalie namna ya kuweka.Kesi gani umesoma mkuu?..tunaomba nasi tuipitie...kama inawekana lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninayo ngoja niangalie namna ya kuweka.Kesi gani umesoma mkuu?..tunaomba nasi tuipitie...kama inawekana lakini.
Dooh,,hili boko hiliKwenye kipindi cha "Salama na"....kinachorushwa "EATV" Mwana F.A anakiri kuwa waliamua kuwashtaki Tigo badala ya Cellulant kwasababu walijua Cellulant hawatakuwa na hela ya kuwalipa....hili we unalizungumziaje? na kama unaona uongo kipindi kipo U tube...kaangalie
Kwenye kipindi cha "Salama na"....kinachorushwa "EATV" Mwana F.A anakiri kuwa waliamua kuwashtaki Tigo badala ya Cellulant kwasababu walijua Cellulant hawatakuwa na hela ya kuwalipa....hili we unalizungumziaje? na kama unaona uongo kipindi kipo U tube...kaangalie
Mkuu kuna kitu kinaitwa res judicata
"The matter have been decided amicably"
Hakuna room ya kufungua fresh case tena
Hizo hela hawana saiviKwa uelewa wangu mdogo wa sheria..hii ngoma inabidi hela zirudi then ngoma ianze upya mahakama kuu na kama FA wakishinda walipwe kihalali sasa..Au nimekosea
Inatakiwa mahakama iliyokosea(Serikali) ilipe hiyo hela...Kesi ianze tena mahakama kuuHizo hela hawana saivi
AY kaenda olea Rwanda na na vi-yatch vyake huko seacliff
FA kajengea huko mbweni na kaanzishia unyunyu
Nimeguess tu Ila Mimi sio hater[emoji14][emoji14][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji3577]
Huu mjadala siyo wa vijiwe samli! Unahitaji watu wanaojua sheria. Fanyeni favour basi kwa kutouteka ili watu wenye weledi watoe mchango! Ukisoma thread karibu yote watu hawana clue na mambo ya sheria lakini ndiyo wanaongoza kwa ubishi.N
Msando anamamlaka ya kukamata akaunti ya mtu bila kibali cha mahakama? Sasa nani kafanya kosa, Msando au Mahakama?
Mabush lawyer wengi sana humu wanang'ang'ania vitu ambavyo kisheria havipoHuu mjadala siyo wa vijiwe samli! Unahitaji watu wanaojua sheria. Fanyeni favour basi kwa kutouteka ili watu wenye weledi watoe mchango! Ukisoma thread karibu yote watu hawana clue na mambo ya sheria lakini ndiyo wanaongoza kwa ubishi.
Mh.mbunge mwenyewe Mwana FA ametolea ufafanuzi hili suala na amesema hakuna walipoambiwa warudishe fedha.
Sasa ni kosa la nani hapoMahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Aiseee kuna bush lawyers wengi sana humu.Hapa kuna mambo matatu ya kuzingatia,
Jambo la kwnza mpka mahakama inatoa hukumu je wakili WA tigo alikuwa hajui kama hiyo mahakama haina uwezo WA kusikiliza hiyo kesi?
Jambo la pili rufaa imekatwa nje ya muda ,kisheria walitakiwa waitwe washitaki wakae meza moja na washitakiwa, wale washitakiwa walete vielelezo kwann wamekata rufaa nje muda kuwe na sababu za msingi sana, kama mshakiwa alikuwa anaumwa na anatakiwa alete vielelozo vya ugonjwa aliokuwa anaumwa kama hoja zake hazina mashiko hapewi nafasi ya kukata rufaa nje ya muda ,
Jambo la tatu kila hakimu huukumu kutokana na hukumu Fulani za awal ndio maana mahakimu hata kama amehukumu sivyo hakuna wa kushitaki maana ukimuuliza kwann umehukumu hivi atakuletea kesi kama hiyo iliotokea ktk nchi fualani na hukumu ikawa hivyo, hakimu anaweza akashauliwa na wazee WA balaza juu ya kesi Fulani nae akahukumu kivingiiine
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
We nae kwa kujitutumua!Ninaamini wakikata Rufaa na kujenga hoja vyema watashinda kwa kuwa Jaji amejieelekeza vibaya kutafsiri Sheria hizo mbili, Sheria ya haki miliki (kifungu cha 4) na ya Mahakama na Sheria ya Mahakama za Mahakimu (kifungu cha 40 (1)(b) ), Mahakama ya Wilaya kwa kesi za Hakimiliki ina uwezo huo wa kusikiliza madai ya fidia ya kiasi chochote kile.
Uhalali wa Mahakama ya Wilaya umeelezwa katika kifungu cha 40 (1) (b) na Kifungu cha 40 (2) cha Sheria ya Mahakama za mahakimu. Kifungu kinasema kama kuna sheria imeipa mahakama ya Wilaya mamlaka pekee ya kusikiliza shauri, basi itasikiliza kwa dai la kiwango chochote.
Kifungu hicho cha 40(2) kinaeleza ifuatavyo:
View attachment 1643934
Sheria ya HakiMiliki sasa yenyewe imesema kuwa madai ya uvunjwaji wa hakimiliki yatasikilizwa na Mahakama ya Wilaya, ambapo itakuwa na mamlaka ya kutoa amri ya mdai kulipwa kiasi chochote kile anachoona kuwa anafaa kulipwa.
Kifungu cha 36 cha Sheria ya Hakimiliki.
View attachment 1643937
Ila ngoja mpambano uendelee, Mahakama ya Rufaa itoe tafsiri sahihi.
So much ignorance on the comments section.Exactly my point, aliyefanya kosa ni hakimu na mahakama yake, akamatwe na afungwe kwa kukiuka sheria, mwanaFa kapeleka malalamiko na wakamsikiliza, yeye MwanaFa agomee kwamba wasisikilize?
Kosa Ni la hakimu ndio maana kesi imetenguliwa kwa sababu yeye ndiye aliyepitisha hukumu batiliSasa ni kosa la nani hapo
Hata kenge anaweza kupost utumbo usio na hoja ndani yake, atleast jadili kwa logic basi kama binadamu mwenye utashi, sasa hapa una tofauti gani na kenge?So much ignorance on the comments section.
Walipokea pesa kimakosa na tigo wanazihitaji pesa zao,na kwa vile pesa walizopatiwa zitakuwa zimeshatumika itabidi mali zao zishikiliwe ili kufidia hizo pesa.Nimesoma bandiko, sasa kama Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kufanya hivyo tena mpaka na hukumu ikatoa, hapo kosa ni la nani? Kwanini kina Mwana FA watishiwe kushikwa mali zao? Hapo ndipo nilipotaka ufafanuzi wa kina.