Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
Sasa hela nimeshatumia kwa amri halali ya bwana hakimu .
 
Ambacho haujaelewa ninini wewe matako !?? Cellulant na baadhi ya makampuni mengine huwa Wana nunua nyimbo za wasanii na kuziuza kwa Tigo ..nachoongea Nina uhakika nacho cuz nimeshawahi kuwa karibu na Mx Carter na yeye Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa nchini kampuni yake kuwa inafanya huo mchakato wa kununua nyimbo kwa wasanii na kuziuza kwenye mitandao ya simu ... So Ambacho haujaelewa hapo Ni kitu gani au unatafuta bahasha kinguvu !?
Kwahiyo hiyo nyimbo walishauza, sio mali yao?!! MwanaFa akadai haki juu ya asichokimiliki? 😂😂😂😂👏
 
Kina mwanaFA haki wanazo zote lije jua ije nvua haki ni yao.....
point ambayo iko hapa bilioni mbili walizolipwa sijui walithibitisha vipi.....
manake kwenye kesi za madai kuna kanuni moja muhimu /specific damages has to be proved...
hasara ambayo kina FA waliipata walipaswa kuithibitisha....
ukishindwa kufanya hivyo unaweza kulipwa kiwango kidogo cha pesa....
Sio hasara tu, hata ukiweza kudhibitisha faida aliyopata huyo aliyetumia nyimbo yako, unaidhibitisha na unalipwa, maana ni yako
 
Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
Daktari wa meno anapoenda kufanya upasuaji wa ubongo na mgonjwa akafa, nani awajibishwe? Hospitali, dentist aliepasua kichwa bila kuwa na vigezo, au mgonjwa?
 
Hakimu na wateja wake walicheza faulo ili wapige pesa.. naona Tigo wamekataa kuwa vipofu wa kufikiri
Naona una roho mbaya sana hii ishu umeishupalia mno but huwafikii kwa maisha yao waliyonayo na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo najua utakuja kujitetea kuwa una kazi nzuri au una kipato kizuri ila ukweli hauna hadhi ya kuwafikia hao watu
 
Ngoja turudi nyuma kidogo mnakuwa wasahaulifu.....!!
kuna jamaa mmoja memba humu aliwahi kuleta malalamiko dhidi ya yule hakimu....
na akachimba mkwara lazima amng'oe
nadhani anaitwa mng'oakucha kama sijakosea jina...
(personally yule hakimu wa ilala namfahamu)
haikupita wiki yule hakimu akadedi..
Duu

Ova
 
Watakata rufaa, watashinda tena

Kukata rufaa ni bado sana kwasababu hakimu hajatoa hukumu/uamuzi wa hizo pesa/mali zirudishwe bali katika hatua za mwanzo amebatilisha tu hukumu ya awali ya mahakama ya Ilala, ila wakili wa tigo ndio amesema watalazimika kuiomba mahakama wawaamuru jamaa warudishe mpunga au wakamate mali zao. Kwahiyo kesi bado mbichi, vita ya kisheria bado haijaanza katika rufaa hiyo.
 
Nafikiri kina FA watashinda tena,maana hoja iliyotengua hukumu ni jurisdiction na wala sio kwamba Tigo hawakutumia caller tune ya kina FA ..so madai ya msingi bado yana mashiko kama kuna ushahidi wa kuridhisha

ni sawa na kusema mtu amekamatwa ugoni then mshenga akasolve issue kwa kuamua talaka itoke..baadae mke akapinga kuwa mshenga hana mamlaka ya kuamulia talaka bali sheikh..madai ya msingi ni ugoni na sio muhusika alieamulia kesi
Mkuu kuna kitu kinaitwa res judicata
"The matter have been decided amicably"
Hakuna room ya kufungua fresh case tena
 
Sasa Cellulant anawezaje kuuza kisheria kitu asichomiliki? [emoji23][emoji23][emoji23], we ni taahira? Mfano leo uje ukute nimeuza gari lako kisheria, yaani gari ni lako, hujanipa zawadi wala hujaniuzia, halafu naliuza kisheria?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji23]
Sasa Kama cellulant hawezi kuuza kwanini AY na MwanaFA wasingeenda kuwashitaki Cellulant kwa kuuza nyimbo wakati hawana uwezo wa kuuza.

Kwanini badala ya kwenda kuwashitaki na waliouza wanaenda kushitakiwa wanunuaji tu?

Mkuu unaujua mkataba ambao wasanii huingia na Hawa madalali wanaonunua kazi za wasanii ?... Mikataba wasanii wanaposaini huwapa hao madalali haki ya kuziuza hizo nyimbo popote.


Hii kesi ina Mambo mengi tutayajua hapo mbeleni amini nakwambia.
 
Na hatuongei kuhusu uamuzi aliofanya, tunaongelea kutoa maamuzi bila kuwa na jurisdiction, mfano, daktari hawezixkushtakiwa mgonjwa akifa kwenye operesheni ya ubongo, lakini tukigundua ulikuwa daktari wa meno na unapasua watu vichwa, hatuwezi kukuacha, nasema uongo?
Nisaidie hapo mkuu...unamshtaki kwa kosa gani? na kwa kitumia sheria ipi?
 
Sasa kwanini wameambiwa warudishe hizo hela?.
Kesi itasikilizwa upya?
Ndiyo itasikilizwa upya kwenye Mahakama yenye uwezo was kusiliza hiyo kesi....Pesa wanatakiwa warudishe kwasababu hapo ni kama hayo maamuzi hayajawahi kufanyika..hivyo wanapaswa kurudisha pesa za watu kwani si halali yao tena...mechi inaanza upya bila bila.
 
Back
Top Bottom