FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Zimezuiwa kwa sababu hawakupeleka objection, na objection waliyopaswa kupeleka ni kwamba kuna rufaa imekatwa na inasubiriwa kwenye mahakama nyingine tofauti na hiyo iliyotoa hukumu, lakini wao hawakupeleka objection juu ya kuziwa akaunti zao, na vielelezi vya rufaa na mawakili walikuwa nao, lakini hawakupeleka, sasa kosa la nani?Umeambiwa wakati wakikata rufaa Mahakama ilizuia akaunti za Kampuni ya Tigo, huelewi kusoma?