Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Hiyo ndio sehemu yakupatia pesa hasa ukiwa Na mtaji, hujiulizi kwanini mitume Na manabii wanakuwa matajiri fasta? Sababu ni tasisi za kijamii hazitozwi kodi wanaingiza vitu vingi kwa gharama na fuu. wakishilikiana na wafanya biashara, Hans mjanja alipo ingia muheshimiwa malori yake amekodisha zambia na mengine machache yako tz, nita shangaa kama atakua bado yuko nchini mana aliokuwa anakula nao hadi analeta jeuri wako benchi, na hawa wa washwi washwi tena wametulia tulii watu wafanye kaziii

Ni kweli ukisemacho

Ila,sehemu ya pesa ya kirahisi rahisi namna hiyo manyang'au ni mengi ni rahisi sana kugaragaraza heshima yako uliyojenga miaka nenda rudi kwenye jamii na kwenye biashara yako..

Shida yangu mimi ni jinsi watu hawa hawapendi kuchafuka kufanya biashara bila mambo ya cut corners...Sijui kwanini watu hawapendi kuchafuka hasa huku mitaroni wakafanya biashara halali wakapata an honest dollar with a long term respect?Sijui kwanini...jibu hua sipati kabisa!

Hebu angalia Poppe ataozea jela sasa!

Na jinsi chattle ana hasira nae alimsema vibaya kwenye media miaka hiyo,hatamuacha hata unywele!Masifa ya kupenda media na migazeti!Hata kama unampiga waziri yanini ukamseme kwenye TV tena kwenye primetime new bulletin?Masifa sasa yana come back at him!

It is sad but true!
 
Jamaa alimwambiaga mkulu kwamba huwa haongei ba mbwa,,,,,anaongea na mwenye mbwa,hakuna cha kutakatisha hela hapo
 
Asilimia kubwa jamaa kesha sepa siyo kilazi hivyo
 
Swali hanspope Yupo nchini au ashakula kona
Je kwenye mechi ya jana alikuwepo uwanjani??

OvA
 
Kamata hilo jizi na litupwe lupango nyambaf zake!
 
Ni kweli ukisemacho

Ila,sehemu ya pesa ya kirahisi rahisi namna hiyo manyang'au ni mengi ni rahisi sana kugaragaraza heshima yako uliyojenga miaka nenda rudi kwenye jamii na kwenye biashara yako..

Shida yangu mimi ni jinsi watu hawa hawapendi kuchafuka kufanya biashara bila mambo ya cut corners...Sijui kwanini watu hawapendi kuchafuka hasa huku mitaroni wakafanya biashara halali wakapata an honest dollar with a long term respect?Sijui kwanini...jibu hua sipati kabisa!

Hebu angalia Poppe ataozea jela sasa!

Na jinsi chattle ana hasira nae alimsema vibaya kwenye media miaka hiyo,hatamuacha hata unywele!Masifa ya kupenda media na migazeti!Hata kama unampiga waziri yanini ukamseme kwenye TV tena kwenye primetime new bulletin?Masifa sasa yana come back at him!

It is sad but true!
Utashindwa ushindani Na wanao enda Na system ina walazimisha. Kunakipindi hapo kkoo mnaweza kutoa kontena ya futi40 bidhaa ileile mkatofautiana kwenye kulipa ghalama ila ukitumia kikampuni Fulani being inakuwa chini,
 
Huyu Hakimu na Swai wa TAKUKURU watakuwa mashabiki wa Yanga!!! Haiwezekani mechi imeisha jana eti leo ndo mseme Hans Poppe nae anatakiwa ashitakiwe wakati kesi hii imekuwepo kitambo pia huwezi kusema Hans pope ameshindwa kupatikana wakati kilasiku yupo ofisini na kuongea na media. Huu uonevu hautokubaliwa na wana Simba.
“Simba Nguvu Moja”
Serikali haina timu acha ujinga
 
Sijui ya nini wafanyabiashara wakubwa wanapenda ujinga ujinga wa mavitu kama haya.!

Sio Manji,sio Hans Poppe,sio Davis Mosha,sio Mo Dewji,Malinzi,etc,etc...Wapuuzi hawa kwanini wasikae kwenye biashara zao seriously?

Wanaingia humo wanajiletea ma-attention yasiyo na maana...

Look at Manji,he is down now,Poppe is going down,Malinzi is down,Davis Mosha is down..

Maupuuzi ya kutaka kujulikana,what the fvck is this?

They are paying now!Watajijua
Hawa wafanya hivo ili wafanye biashara zao vzr. Za halali na zisizo halali
 
Utashindwa ushindani Na wanao enda Na system ina walazimisha. Kunakipindi hapo kkoo mnaweza kutoa kontena ya futi40 bidhaa ileile mkatofautiana kwenye kulipa ghalama ila ukitumia kikampuni Fulani being inakuwa chini,

Mkuu Kinyama

Huo ni mchakato ndani ya biashara unayofanya,yaani ndani ya line of business unaweza fanya maujanja kama hayo...ila hawa wamehama wameenda kuvamia vyama vya hiyari (timu za mpira) na kuvitafuna!

Thats ni uvunjanji wa benki mchana kweupe!
 
Z Hans Poppe ana hotel kubwa sana katikati ya jiji la Iringa, sijui ataihamisha vipi, labda aiuze. Yale Maroli ya mafuta nina muda cjayaona, cjui keshayahamisha!
ile Mali ya familia mkuu...ana ndugu zake wapo very bright kwa business
 
Hawa wafanya hivo ili wafanye biashara zao vzr. Za halali na zisizo halali

Ni kweli French,ila wanaenda kuiba sehemu zina makamera na magazeti?

Unategemea nini?Ukishikwa mikamera na migazeti inakuja the same way!

Haya sasa,ndio haya tunayaona!

Umaarufu gunia la mavi!
 
Hivi ktk usajili wa kina Okwi serikali ilitoa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom