City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Watatubu safari hii.Mkuu hizi timu zinawaingizia Pesa sana,maana wanazikopesha,then hela yoyote ikiingia kwenye timu wanachukua,pia ukisikia mchezaji kasajiliwa milioni 150 labda ujue ni milioni labda 60 tu,zingine wanakula wao.Hizi teams ndo maana kila mtu anazihitaji hata mabadiriko inakua ngumu kutokea cos ni mitaji ya watu
Watatubu safari hii.
[emoji1]Kazi ipo
Hanspope alijiongezaKwenye akaunti yake kuna laki sita teh teh
yule mhindi wa iptl ana tamaa ya hela sana, sasa hvi usingekuta yupo mahabusu.... Seth ana puto tumboni mda wowote litapasuka
Benki wanajuaje mkuu,au kuna kiasi kikifika account inakuwa pending??[/QUOTE]
Bank wao hawana shida sana maana wewe si unawapelekea hela watazipokea kama hela zenyewe unaziingia hapa nchini tofauti na zile unazoingiza kutoka nje ambazo zina utaratibu wa kuziingiza...kimsingi historia ya akaunti yako ndio itawafanya wakushitukie hasa utakapotaka kutoa kwa kasi ya ajabu ndipo wataanza kuonyesha mashaka lakini kama tangu umefungua mara unaingiza laki mara milioni mara milioni 1, na hata kitokea umeingiza milion 30 hawawezi kuwashangaza sana tofauti na mtu ambaye akaunti yake haina mihamala ya kueleweka ...but all in all akaunti yako itakuwa at risk mpaka pale mamlaka zingine zitakapokushitukia nyendo zako za matumizi na kuanza kuangalia ela unayomilki na record yako TRA maana mtu yoyote mwenye shughuli rasmi lazima atasomeka TRA.
Na
Nina uhakika 100% pope hana makosa labda afungwe kwa kuonewaNi kweli ukisemacho
Ila,sehemu ya pesa ya kirahisi rahisi namna hiyo manyang'au ni mengi ni rahisi sana kugaragaraza heshima yako uliyojenga miaka nenda rudi kwenye jamii na kwenye biashara yako..
Shida yangu mimi ni jinsi watu hawa hawapendi kuchafuka kufanya biashara bila mambo ya cut corners...Sijui kwanini watu hawapendi kuchafuka hasa huku mitaroni wakafanya biashara halali wakapata an honest dollar with a long term respect?Sijui kwanini...jibu hua sipati kabisa!
Hebu angalia Poppe ataozea jela sasa!
Na jinsi chattle ana hasira nae alimsema vibaya kwenye media miaka hiyo,hatamuacha hata unywele!Masifa ya kupenda media na migazeti!Hata kama unampiga waziri yanini ukamseme kwenye TV tena kwenye primetime new bulletin?Masifa sasa yana come back at him!
It is sad but true!
Haji kwenye mshiko walikua wanam sideline, yeye aliachiwa kupiga kelele kwenye media tu sio kupiga pesaHaji nae ajiande kwa kupasha
Huyu naona alokuwa akitafutwa muda mrefu kuna uzi humu ambao alikuwa anamponda sana mtukufu wakati anatumika Wizara ya ujenzi miaka ya nyuma maneno magumu sana aliongea kuhusu mtukufu,hapa naunganisha dot hapa hachomoki.Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa katika kesi inayomkabili Rais wa Klabu hiyo, Evans Aveva na Makamu wake Kaburu.
Amri hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba baada ya Wakili wa TAKUKURU, Leonard Swai kubadilisha hati ya mashtaka na kuwaongeza watuhumiwa hao.
Swai amedai amewatafuta washtakiwa hao toka mwezi wa tatu bila mafanikio na kuomba hati ya kuwakamata washtakiwa hao ambao hawakuepo mahakamani.
Washtakiwa hao wameongezwa katika kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayomkabili Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ .
Huko aliko kimbilia naona siko kabisa maana ndio kwa washkaji zake jiwe angalau angesepea Kenya !Yuko Rwanda/Burundi kitambo sana
Alikuwa anakujaga Bongo ila kwa style hii sjui kama atatia mguu.....kwanza afya yke yenyewe Syo nzuri muda sana nlimuonaga anatembea kwa gongo tena lile lenye miguu mitatu chini
Sasa lupango atakuweza kweli
Ova
duh....jamaa noma.Kampuni alisha uza mwaka jana
Naye huyo mdogo wake alishafariki. Alifia huko huko Australia.Ana roho Saba kama paka huyo,alihukumiwa maisha na bado akatoboa,wenzake karibu wote walishakufa,mdogo wake alivyotoka jela akatambaa Australia.
Addition on that Kuna mikopo mikubwa lakini inakuwa so halisi. Mfano nakopa 5b naziingiza kwenye ununuzi mazao ya biashara then narejesha ionekane nilipata hela nyingi huko wakati si kweli.Unapata fedha Haramu (mfano za kupora benki, madawa ya kulevya, dili serikalini n.k) halafu unatumia Miradi halali (mfano unaanzisha biashara ya night club, kiwanda) kupumbaza Umma wasijue hela umetoa wapi.
Hiyo ndiyo kutakatisha fedha