Pre GE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakitufinya sana halafu wanatupuliza kidogo
 
Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam Masjala ndogo imekubaliana na hoja zilizowasilishwa na wananchi watatu ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa kaiza na Dk. Ananailea Nkya na kupitisha kibali cha TAMISEMI kushtakiwa na kupingwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa , kufuatia maamuzi hayo pia mahakama kuu imekataa kusimamisha mchakato wa shuhuli zinazoendelea za uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…