Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

Ni mazuzu tu,sijui hata Yana fanya nn bungeni.

Assad ni shujaa na haogopi kusema ukweli,ilikua hivyo Kabla na wala hakuhofu kibarua na marupurupu yake hata Sasa,hebu mkamskilize na ludovick Otouh alivyohojiwa juzi ,ameshangaa watuhumiwa wa escrow kuachiwa na fedha zimechotwa ni za umma,Nani wa kuhoji Zaid ya hilohilo bunge ambalo 7years ago walisimama kidete fedha zirudishwe na hazikurudi na wao wapo kimya,Ni mazuzu tu
 
Hivi kwani hakuna chombo cha habari chenye uwezo wa kuwakaribisha wote wawili kisha wakahojiwa kwa pamoja ili tusibitishe nani yuko sahii.
 
Zuzu katika ubora wako.
 
Aibu hii sasa wamepata Airtime ya bure dunia nzima kuwa wao ni mazuzu...
 
Ni wakati gani hii awqmu ya tano/ sita wame toa maamuzi tofauti wa matakwa ya wakubwa?
Hadi sasa sioni umuhimu wa mahakama za Tanzania.
 
Ni wakati gani hii awqmu ya tano/ sita wame toa maamuzi tofauti wa matakwa ya wakubwa?
Hadi sasa sioni umuhimu wa mahakama za Tanzania.
Uliuona kwenye hukumu ya sabaya tu
 
Haya sasa... CAG mjuaji na kidomodomo ripoti kwa ndugai ukamjibu kuhusu dharau zako. Zitto hana kiwango na yeye ni mtu makidai tu wala hajui. Tumbombele ndio inamsumbua.
 
Alishahojiwa mbona na akakataa kuomba msamaha kwa kuwaita wabunge na bunge lao "dhaifu" [emoji38][emoji38][emoji38] ndipo Jiwe akampumzisha kabla ya muda wake kuisha.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bunge linataka likahoji udhaifu wake u wapi ina maana hawajioni? washughulikie udhaifu wao! waambieni wakiwa strong tutawaambia[emoji1][emoji1]
 
Wewe pia ni zuzu.
 
Huyu babu kwa kulalamika! Sina hamu. Aliteuliwa na rafiki yake Kikwete akasahau kuwa mwendazake hakuwa na urafiki bali uchapakazi
Sundi aliteuliwa kwa uchapakazi!!!?
Angela aliteuliwa kwa uchapakazi!!!!??
Ummy aliteuliwa kwa uchapakazi!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…