Zuzu lingine hili hapa jamanJafar Musa Assad kwanini aite wabunge mazuzu? Hivi kweli wabunge wetu ni mazuzu? Haya ni matusi makubwa sana.
Aitwe haraka bungeni, na ahojiwe na asulubiwe haraka, hii itatia heshima kwa watu wengine kuheshimu bunge letu.
Musa kwanza sio jina lake, kaiba jina alifeli itakuwa huyu huko shuleni, akaacha jina lake Jafar.. Pia ahojiwe hilo jina la Musa kapataje? Vetting upya ifanyike plz.
Assad anapenda kulialia kupata huruma ya wananchi kama Lissu!
Jafar Musa Assad kwanini aite wabunge mazuzu? Hivi kweli wabunge wetu ni mazuzu? Haya ni matusi makubwa sana.
Aitwe haraka bungeni, na ahojiwe na asulubiwe haraka, hii itatia heshima kwa watu wengine kuheshimu bunge letu.
Musa kwanza sio jina lake, kaiba jina alifeli itakuwa huyu huko shuleni, akaacha jina lake Jafar.. Pia ahojiwe hilo jina la Musa kapataje? Vetting upya ifanyike plz.
Ukishaona jopo lina luvanda ndani yake basi kinachofuata ni kutupwa tu. Yupo Mungu asiyeshindwa kama wanazitupa haki za watu kwa sbb wanazozijua wao basi iko siku na wao watatupwa tu ni suala la muda.Ina maana Mahakama Kuu ya nchi jukumu lake ni kutupa kesi tu?
Haya maneno ya dharau na kejeli yanakusaidia nini katika maisha yako? Unadhani utatajirika kupitia chuki yako kwa marehemu?Uchapakazi alikuwa nao ndio maana alitaka 1.5T ilifanyika nini baa da ya jiwe kuona hivyo akatumia umadarakati wake kupitia kwa mazuzu wamfanyie hila na kumfukuza kazi.
Leo zuzu moja limeshakufa yamebakia mengine likiwemo sipika.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hamna dharau hapo. Lakin kwa dharau na kejeli mko namba moja humu.Haya maneno ya dharau na kejeli yanakusaidia nini katika maisha yako? Unadhani utatajirika kupitia chuki yako kwa marehemu?
Ndio mazuzu hao
HAMIA BURUNDI
Tanzania Nchi Ngumu Sana
Uzuzulism[emoji1787]Yeye anayazungumzia Mazuzu ambayo yanatumia uzuzu kuonesha uzuzu wao na kuna mafuasi ya Mazuzu yanashabikia Uzuzu.
Mbowe hachomoki kwenye hii kesiMahakama, for once, wamepatia.
Wamesema work product ya CAG inalindwa na Katiba.
Tatizo CAG hayawahi kuweka kwenye ripoti zake kwamba bunge ni dhaifu.
Maneno anayosemea mitaani, Mahakama imesema, watashindwa kuyalinda. Simple as.