Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

Utakuwa miongoni mwa mazuzu😂😂😂😂
 
Sasa mazuzu wanakwenda kumhoji mwerevu kweli!!
 
Naunga mkono hoja. Mazuzu wamejaa mle ndani
Akiwemo Assaad mwenyewe,
Maana aliulizwa hadhalalani.kama kuna upotevu wa pesa akakataa lakini pembeni anasema upo,
Hivyo nae ni zuzu tu.
 
Naunga mkono hoja. Mazuzu wamejaa mle ndani
Akiwemo Assaad mwenyewe,
Maana aliulizwa hadhalalani.kama kuna upotevu wa pesa akakataa lakini pembeni anasema upo,
Hivyo nae ni zuzu tu.
Ina maana Mahakama Kuu ya nchi jukumu lake ni kutupa kesi tu?
😂😂😂😂😂mna maswali humu mpaka yanachekesha.
 
Halafu utakuta zuzu kama hili police wanaenda kulipa ubunge.
Wewe na Assad wot ni mazuzu, yeye ansema wengine wakati yeye aliufyata wakat master yupo.
Baada ya kuona kafa ndo anajiona super sana.

Pia akumbuke kwa sasa wenye elimu kama yake ni wengi tanzania kwa hiyo hiyo kazi si yake peke yake.
Kam ana akili sana basi asaidie wengine wapate hayo maarifa hata kwa kufungua chuo chake afundishe au afanye biashara nae aone ugumu wake.
 
Akiwemo Assaad mwenyewe,
Maana aliulizwa hadhalalani.kama kuna upotevu wa pesa akakataa lakini pembeni anasema upo,
Hivyo nae ni zuzu tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mna maswali humu mpaka yanachekesha.
Ni zuzu kweli kweli
 
2🙂 Siwezi kumpangia aifanyie nini elimu yake kwa vile sikumsaidia kuitafuta.
1🙂 Anachokumbuka yeye ni kuwa ana elimu zaidi yako hata uchanganye na kijiji chako kizima.
 
2🙂 Siwezi kumpangia aifanyie nini elimu yake kwa vile sikumsaidia kuitafuta.
1🙂 Anachokumbuka yeye ni kuwa ana elimu zaidi yako hata uchanganye na kijiji chako kizima.
Hana elimu yoyote
 
Wale mazuzu mjengoni wanagawana kodi zetu tu plus covid 19
 
Jif
2🙂 Siwezi kumpangia aifanyie nini elimu yake kwa vile sikumsaidia kuitafuta.
1🙂 Anachokumbuka yeye ni kuwa ana elimu zaidi yako hata uchanganye na kijiji chako kizima.
Jifariji kijana nyie ni wale mnaitwa wapambe mnao tembea nyuma ya watu na kusifia ili mpate chakula na vibia mnywe kisha mkalale kusikojulikana.

Endelea kumsifia pengine utalewa siku moja pesa yake.

Wakati akiwa NSSF ni matokeo gani alifanya huko, kununua viwanja heka milioni mia saba?
Na hakuzuia.
 
Bunge la mazuzu linataka kumhoji tena mtu mwenye akili zake?
Vita ya wapumbaavu kwa wapumbaavu ni faida kwa legacy yetu wazarendo ,hapo hakuna mwenye akili jomba
 
Na akithibitisha kweli ni mazuzu? Kumbuka hawa ni watu walipitisha sheria ambao wenyewe walikiri kuwa hawajaisoma. Mtu kama huyo utamuitaje?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…