Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Hivi ni sababu gani ya msingi iliyowafanya wakaenda kufungia Ndoa nje ya nchi? (Jack & Mengi)

Na maamuzi ya Mahakama yalikua ni yapi specifically wakati wa denouement ya Ndoa ya Mercy & Mengi? Unayafahamu vizuri?
 
Tamaa itamponza. Sisi wachagga hatuachagi mali za mzee zikapotea kizembe na pia hatutelekezagi mama mdogo (mke mdogo) kizembe pale mzee anapovuta kamba ila akieta ujuaji atakosa vyote. Sijui nyie wake zetu mlioolewa uchaggan mnashindwa nini kumshauri mwanamke mwezenu atulie aponde raha kwa kivuli cha kumzalia mzee wetu
 
Nionyeshe sehemu ya wosia wa Jack unaosema marehemu alikuwa anamiliki asilimia 40 ya makampuni ya IPP. Wosia wa Jack ni batili kwa sababu umesema kuwa makampuni yote ya IPP wapewe yeye na watoto wake wawili. Lakini Jack hakujua kuwa Mengi hamiliki asilimia 100 ya makampuni. Hapo ndio inaonekana kuwa wosia ni batili. Kama kweli Marehemu angeandika huu wosia angetanabahisha kuwa asilimia 40 yake apewe Jack na watoto. Na Marehemu alikuwa na mwanasheria wake kwa hio asingeweza kufanya kosa la kizembe hivi. Jack hawezi kushinda hio kesi hata akitumia wakili gani. Hakuna kesi hapo kwa sababu kuna udanganyifu wa kugushi nyaraka za uongo. Watoto na serikali wanaweza kumshtaki kwa kugushi nyaraka za wosia. Pia kwenda mbali sana kabla marehemu hajafariki alikuwa na stroke ambayo ilimpelekea kuwa na dementia(ugonjwa wa kusahau sahau). Na kumalizia pia marehemu alikuwa hayuko vizuri kiafya kwa ajili ya safari ya mapumziko ya Dubai. Ukiangalia kule dubai alikuwa yeye mkewe na watoto wawili. Yeye(Jack) alikuwa mtu wa mwisho kumwona marehemu kabla ya umauti kumkuta.Kwa kitendo cha mke wa marehemu kudai mali kwa wosia wa kugushi, inaonesha kuna viashiria mke alimuua marehemu. Maana kama kweli mume wako uliishi nae kwa amani kwa nini usiweke kikao na ndugu baada ya msiba.
 
Sawa,sioni umuhimu wa kuendelea kubishana tufanye hivyo ulivyosema ndiyo sahihi.
 
Nimekumbuka Mwaka 2015 hivi nikiwa Precision Air naelekea South Africa Dr Mengi akikutana na Bibi Mmoja mzee kwenye Ndege..

Yule bibi amwambia Dr Mengi kuwa na Hao watoto wadogo umezaa wa ni i na uzee wako wote huo?

Kwa kuwa Mzee Mengi alikuwa mtu wa busara alimezea ila alionekana kukerwa na kauli ile ya mzee mwenzake.

Niliamini yule bibi kamtania tu. Ila ilimuuma mzee Mengi...

Funzo kwa Vijana; hata kama una Mpunga wako uliotolea jasho, sikupangii cha kufanya lakini kuzaa uzeeni ni kuacha mateso kwa uzao wako.

Mali na fedha hazitamsaidia huyo mtoto.

Social and family cohesion ni muhimu sana.
 
Hizi tamaa za mali hizi. Bora Wema yeye kakubali yaishe amejitulilia tu.
 
Kuwe na mahala pa kusave comments zilizotukosha,Ili inapobidi tuwe tunapitiapitia kujikumbushia tuliyoshauriwa na wadau.
Thanks!!
 
aibu sana kwa mtu mwenye hekima haikustahili kwenda mahakaman.ila kwa kuwa alijawa na upumbavu hayo ndio matokeo
 
Mali imerudi machame , haiwezekani Mali iende bukoba kwa chasaka wakati waliotafuta ni wamachame kwa maana ya baba na mama mengi .
Mahakama ipo sahihi .
 
What's wrong with her au ana beef na familia ya Mengi anataka kuonesha umwamba yeye ni jani ,aridhike na alichopata Kwanza ni basi tu lakini hakupaswa kufanya hivyo sababu jamii itamtafsiri kivingine
 
Hiyo ndiyo dawa ya malaya na gold diggers wote

Mzee akiwa hai ana hela yeye alishindwa nini kujiongeza kuwa na biashara zake binafsi?

Wachaga kamatieni hapohapo, humu tu
alifunguliwa hadi duka dubai la kuuza vito vya thamani kama dhahabu ,tanzanite ila sasa huyu dada ujinga anao wakuzaliwa angetulia hii familia ingemlinda vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…