Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

As a wife she is entitled to half of what mengi owned. The kids will get a share of the other half. All the kids. Our laws apply restrorespic to. Meaning after the fall of the marriage with Mercy and subsequent settlement, what remain to Mengi, Jackuiline as his legal wife could inherit half of it upon demise of his husband.
Hivi ni sababu gani ya msingi iliyowafanya wakaenda kufungia Ndoa nje ya nchi? (Jack & Mengi)

Na maamuzi ya Mahakama yalikua ni yapi specifically wakati wa denouement ya Ndoa ya Mercy & Mengi? Unayafahamu vizuri?
 
Tamaa itamponza. Sisi wachagga hatuachagi mali za mzee zikapotea kizembe na pia hatutelekezagi mama mdogo (mke mdogo) kizembe pale mzee anapovuta kamba ila akieta ujuaji atakosa vyote. Sijui nyie wake zetu mlioolewa uchaggan mnashindwa nini kumshauri mwanamke mwezenu atulie aponde raha kwa kivuli cha kumzalia mzee wetu
 
Wosia uliwekwa humu na wengi tuliuona na wosio haupo kama hivyo unavyodai wewe.
Ni kweli Mzee Mengi alipotalikiana na mkewe waligawana hisa na hisa nyingine waliwapa watoto wao wawili ma Mzee Mengi alibaki na hisa zake 40% ambazo ndiyo baadaye kwa mujibu wa wosia uliowasilishwa na Jac ndiyo aliagiza pamoja na biashara nyingine alizokuja kuzianzisha baadaye zote warithishwe mkewe na watoro wake wadogo aliozaa na Jac na wale wengine aliwanyima urithi na hilo lilionekana limeenda kinyume na utaratibu wa wosia kuwabagua warithi wako wanaostahili kukurithi bila kujali kama wao wana uwezo kiasi gani kikubwa watoto wote wa Mzee Mengi walistahili kumrithi baba yao.
Na hata yeye Jac mwenyewe katika kutetea huo aliouita wosia wa Marehemu Mengi katika mahojiano mbalimbali alidai eti Mzee alifanya vile kwa sababu aliona wale watoto wake wakubwa tayari wanahisa walizopewa na pia wamerithi zile hisa za mama yao hivyo eti akaona hicho alichobaki nacho yeye(Mzee Mengi) awarithishe mkewe na watoto wao wadogo.
Hata ukiingia youtube mahojiano ya Jac yapo huko na kueleza kila kitu na siyo kweli eti Mzee Mengi alitoa Wosia kwamba IPP na Bonite vyote apewe Jac.
Anachopigania Jac ni zile hisa 40% na hayo makampuni mengine yaliyoanzishwa baadaye baada ya kugawana na mkewe lakini ndiyo hivyo mchongo umekosewa na Bibie ndiyo amepagawa japo kuna percent atapata kama mke lakini ni kama anaona itakuwa ndogo.
Nionyeshe sehemu ya wosia wa Jack unaosema marehemu alikuwa anamiliki asilimia 40 ya makampuni ya IPP. Wosia wa Jack ni batili kwa sababu umesema kuwa makampuni yote ya IPP wapewe yeye na watoto wake wawili. Lakini Jack hakujua kuwa Mengi hamiliki asilimia 100 ya makampuni. Hapo ndio inaonekana kuwa wosia ni batili. Kama kweli Marehemu angeandika huu wosia angetanabahisha kuwa asilimia 40 yake apewe Jack na watoto. Na Marehemu alikuwa na mwanasheria wake kwa hio asingeweza kufanya kosa la kizembe hivi. Jack hawezi kushinda hio kesi hata akitumia wakili gani. Hakuna kesi hapo kwa sababu kuna udanganyifu wa kugushi nyaraka za uongo. Watoto na serikali wanaweza kumshtaki kwa kugushi nyaraka za wosia. Pia kwenda mbali sana kabla marehemu hajafariki alikuwa na stroke ambayo ilimpelekea kuwa na dementia(ugonjwa wa kusahau sahau). Na kumalizia pia marehemu alikuwa hayuko vizuri kiafya kwa ajili ya safari ya mapumziko ya Dubai. Ukiangalia kule dubai alikuwa yeye mkewe na watoto wawili. Yeye(Jack) alikuwa mtu wa mwisho kumwona marehemu kabla ya umauti kumkuta.Kwa kitendo cha mke wa marehemu kudai mali kwa wosia wa kugushi, inaonesha kuna viashiria mke alimuua marehemu. Maana kama kweli mume wako uliishi nae kwa amani kwa nini usiweke kikao na ndugu baada ya msiba.
 
Nionyeshe sehemu ya wosia wa Jack unaosema marehemu alikuwa anamiliki asilimia 40 ya makampuni ya IPP. Wosia wa Jaxck ni batili kwa sababu umesema kuwa makampuni yote ya IPP wapewe yeye na watoto wake wawili. Lakini Jack hakujua kuwa Mengi hamiliki asilimia 100 ya makampuni. Hapo ndio inaonekana kuwa wosia ni batili. Kama kweli Marehemu angeandika huu wosia angetanabahisha kuwa asilimia 40 yake apewe Jack na watoto. Na Marehemu alikuwa na mwanasheria wake kwa hio asingeweza kufanya kosa la kizembe hivi. Jack hawezi kushinda hio kesi hata akitumia wakili gani. Hakuna kesi hapo kwa sababu kuna udanganyifu wa kugushi nyaraka za uongo. Watoto na serikali wanaweza kumshtaki kwa kugushi nyaraka za wosia. Pia kwenda mbali sana kabla marehemu hajafariki alikuwa na stroke ambayo ilimpelekea kuwa na dementia(ugonjwa wa kusahau sahau). Na kumalizia pia marehemu alikuwa hayuko vizuri kiafya kwa ajili ya safari ya mapumziko ya Dubai. Ukiangalia kule dubai alikuwa yeye mkewe na watoto wawili. Yeye(Jack) alikuwa mtu wa mwisho kumwona marehemu kabla ya umauti kumkuta.Kwa kitendo cha mke wa marehemu kudai mali kwa wosia wa kugushi, inaonesha kuna viashiria mke alimuua marehemu. Maana kama kweli mume wako uliishi nae kwa amani kwa nini usiweke kikao na ndugu baada ya msiba.
Sawa,sioni umuhimu wa kuendelea kubishana tufanye hivyo ulivyosema ndiyo sahihi.
 
Katika shauri hilo, Jacquiline na wanawe anaowasimamia, Jayden Kihoza Mengi na Ryan Saashisha Mengi walikuwa wanaiomba mahakama irejee na hatimaye itengue uamuzi uliotupilia mbali shauri la maombi ya mapitio, walilolifungua awali mahakamani hapo wakipinga hukumu ya Mahakama Kuu, iliyoukataa wosia huo.
Nimekumbuka Mwaka 2015 hivi nikiwa Precision Air naelekea South Africa Dr Mengi akikutana na Bibi Mmoja mzee kwenye Ndege..

Yule bibi amwambia Dr Mengi kuwa na Hao watoto wadogo umezaa wa ni i na uzee wako wote huo?

Kwa kuwa Mzee Mengi alikuwa mtu wa busara alimezea ila alionekana kukerwa na kauli ile ya mzee mwenzake.

Niliamini yule bibi kamtania tu. Ila ilimuuma mzee Mengi...

Funzo kwa Vijana; hata kama una Mpunga wako uliotolea jasho, sikupangii cha kufanya lakini kuzaa uzeeni ni kuacha mateso kwa uzao wako.

Mali na fedha hazitamsaidia huyo mtoto.

Social and family cohesion ni muhimu sana.
 
Nionyeshe sehemu ya wosia wa Jack unaosema marehemu alikuwa anamiliki asilimia 40 ya makampuni ya IPP. Wosia wa Jack ni batili kwa sababu umesema kuwa makampuni yote ya IPP wapewe yeye na watoto wake wawili. Lakini Jack hakujua kuwa Mengi hamiliki asilimia 100 ya makampuni. Hapo ndio inaonekana kuwa wosia ni batili. Kama kweli Marehemu angeandika huu wosia angetanabahisha kuwa asilimia 40 yake apewe Jack na watoto. Na Marehemu alikuwa na mwanasheria wake kwa hio asingeweza kufanya kosa la kizembe hivi. Jack hawezi kushinda hio kesi hata akitumia wakili gani. Hakuna kesi hapo kwa sababu kuna udanganyifu wa kugushi nyaraka za uongo. Watoto na serikali wanaweza kumshtaki kwa kugushi nyaraka za wosia. Pia kwenda mbali sana kabla marehemu hajafariki alikuwa na stroke ambayo ilimpelekea kuwa na dementia(ugonjwa wa kusahau sahau). Na kumalizia pia marehemu alikuwa hayuko vizuri kiafya kwa ajili ya safari ya mapumziko ya Dubai. Ukiangalia kule dubai alikuwa yeye mkewe na watoto wawili. Yeye(Jack) alikuwa mtu wa mwisho kumwona marehemu kabla ya umauti kumkuta.Kwa kitendo cha mke wa marehemu kudai mali kwa wosia wa kugushi, inaonesha kuna viashiria mke alimuua marehemu. Maana kama kweli mume wako uliishi nae kwa amani kwa nini usiweke kikao na ndugu baada ya msiba.
Hizi tamaa za mali hizi. Bora Wema yeye kakubali yaishe amejitulilia tu.
 
MTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.

Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .

Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.

The same harmonize kwa diamond.

Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.

Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .

Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
Kuwe na mahala pa kusave comments zilizotukosha,Ili inapobidi tuwe tunapitiapitia kujikumbushia tuliyoshauriwa na wadau.
Thanks!!
 
aibu sana kwa mtu mwenye hekima haikustahili kwenda mahakaman.ila kwa kuwa alijawa na upumbavu hayo ndio matokeo
 
Mali imerudi machame , haiwezekani Mali iende bukoba kwa chasaka wakati waliotafuta ni wamachame kwa maana ya baba na mama mengi .
Mahakama ipo sahihi .
 
What's wrong with her au ana beef na familia ya Mengi anataka kuonesha umwamba yeye ni jani ,aridhike na alichopata Kwanza ni basi tu lakini hakupaswa kufanya hivyo sababu jamii itamtafsiri kivingine
 
Hiyo ndiyo dawa ya malaya na gold diggers wote

Mzee akiwa hai ana hela yeye alishindwa nini kujiongeza kuwa na biashara zake binafsi?

Wachaga kamatieni hapohapo, humu tu
alifunguliwa hadi duka dubai la kuuza vito vya thamani kama dhahabu ,tanzanite ila sasa huyu dada ujinga anao wakuzaliwa angetulia hii familia ingemlinda vizuri tu
 
Back
Top Bottom