Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Kama anadai HAKI yake mashaka wewe umeyatoa wapi?

vp kama angekuwa ndugu yako ungefanyaje?
Mahakama kuu imesema Hana Haki Bado hakuridhika amekata rufaa mahakama ya rufaa imesema Bado Hana Haki kwasaaa hatujui anaelekea wapi baada ya kushindwa court of appeals ila inaonekana Bado lengo lake halijatimia Bado anamuandama marehemu.
 
Mahakama kuu imesema Hana Haki Bado hakuridhika amekata rufaa mahakama ya rufaa imesema Bado Hana Haki kwasaaa hatujui anaelekea wapi baada ya kushindwa court of appeals ila inaonekana Bado lengo lake halijatimia Bado anamuandama marehemu.
Ata omba review bila shaka last bite yake iyo akiliwa ndo imeisha iyo milelee na review court of appeal kutoboa sio mchezo
 
Vip Sheria inasemaje mke anapoolewa na kukuta lbd mume ana nyumba Moja na ana watoto wengine wa mama mwingine??
 
Masikini analadhimisha watoto wa watu waishi kama popo ili yeye aponde raha na madanga yake...........asante mahakama kwa kutenda haki...................hii mijitu ni ya kuogopwa sana
Swali Moja Kwa watoto wakubwa wa Mengi je wale madogo mapacha ni wadogo zao? Maana watu tusirukie kuangalia tu Jackuiline hiki au kile. Wamechukua kila kitu sawa ila je wale madogo ni ndugu zao? Kama ni Damu ya baba yao Kuna siku itawatafuna lakini kama sio then waendeelee.
 
Dalili za mwisho wa kufikiri! The apex court has ruled based on facts wewe unaleta hisia? Damu kuwatafuna ndio kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…