Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Dalili za mwisho wa kufikiri! The apex court has ruled based on facts wewe unaleta hisia? Damu kuwatafuna ndio kitu gani?
Sasa hivi Mzee wako akafariki na vyote alivyovuna kawaachia ninyi ila ikatokea mpo mnagawa wakaja watoto wadogo wawili, Kwa kuwatazama tu unamuona dingi. Je utafanyaje hapo?
Simtetei Jack naulizia tu wale jombi wawili je ni watoto wawili halali wa yule Mzee? Wakiteseka wakati ndugu zao wanaogelea kwenye fedha ni sawa?.
Sijayakataa maamuzi ya mahakama. Ila wale watoto wawili wakubwa Wana jukumu dhidhi ya wadogo zao. Wasome na kuishi fresh. Hapo ni bila kuangalia jack atafaidika vipi na hicho kitakachotolewa. Ndo maana mwanaume ukipelekwa ustawi wa jamii kama una uwezo utaprovide comfortable life Kwa watoto ambayo na mama atashare whether you like or not.
Baada ya maamuzi ya mahakama ni muda wa wakubwa kujenga, why because they are related. The same blood run through their vains if proven they are really reginald kids.
 
Inamaana watoto wakubwa waliwakana wadogo na kuwaondoa mikono mitupu?
 
Hayo yote mahakama imeyazingatia. Na usidhani hao madogo hawajaachiwa chao; ni tamaa ya mama yao kutaka akombe kila kitu kwa hila! Mgogoro ndio uko hapo.
 
Yule hawezi kushindana na wale watoto wa Mengi, ukumbuke mdogo wa Mengi Benjamin bado yuko hai iwe Kwa heri au shari mali haiwezi kutoka uchagani kizembe, kashindwa mahakama kuu, kashindwa mahakama ya rufani hivo ajipange Kwa wakati mwingine tena
Hivi ukishindwa mahakama ya rufaa unaweza peleka wapi malalamiko yako?
 
Yule hawezi kushindana na wale watoto wa Mengi, ukumbuke mdogo wa Mengi Benjamin bado yuko hai iwe Kwa heri au shari mali haiwezi kutoka uchagani kizembe, kashindwa mahakama kuu, kashindwa mahakama ya rufani hivo ajipange Kwa wakati mwingine tena
Nasikia huyo Benjamin ni mafia haswa. Yaani hatari ya kifo ukijipitisha anga zake.
 
Wote mnao muatack jack fikirieni na upande wa pili, alijitoa ujana wake kwenda kukilea kibabu, ambapo kwa cv yake angeweza ku date na vijana wenzake na kula maisha.
Wakulaumiwa ni babu machche mwenyewe kudandia vidada badala ya kutulia na kibibi chake.
 
Simfahamu huyu dada ila washauri wake ni wabaya sana kuliko wanaosaga sumu maana wanampeleka kwenye shimo la kiza nene, pia yeye hasomi alama za nyakati

Pia Kuna namna alitakiwa kubehave kipindi Mzee yupo Ili aende sawa na watoto wa Mzee inawezekana ilikuwa ndivyo sivyo na angepambana kutafuta miradi yake ya kuendesha mwenyewe akaacha aliyoyakuta na Mzee angemwelekeza njia za kupita Kwa sasa ni too late
 
Bila waislam wote kumkubali kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein Ibn Ali A.S na mafundisho adhim ya kishia kamwe Palestine haitakuwa huru. NARUDIA KWA MSISITIZO KAMWE PALESTINE HAITAKUWA HURU.

Leo tunajivunia kupewa Tawfeek/Tawfiq (the ability and opportunity to succeed) kwasababu ya Imam wetu alikufa na kukana nafsi kwa kuupigania, kuutetea na kuulinda Uislam ndo maana tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumpa kheri za duniani na Firdaus, amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.
View attachment 3066179
Palestina imeingiaje tena mkuu!!??
 
Hayo yote mahakama imeyazingatia. Na usidhani hao madogo hawajaachiwa chao; ni tamaa ya mama yao kutaka akombe kila kitu kwa hila! Mgogoro ndio uko hapo.
Kwa nilichosoma kesi ya msingi siamini kama niliona chochote kuhusu hao madogo. Maana swali hapo halikua mali zigawanywaje bali kulikua na two contested wills. One prevailed but the term of the will are favorable to the eldest children's only. Hope watajenga undugu. They are still blood.
 
Akome awaambie na wenzie wenye tabia ya kuparamia ndoa za watu wakome.

Wakome, mwanamke amekosa mwili amekosa na roho.

Aende mahakama ya East Africa nako atashindwa
Dah pamoja na ubaya wa Jack yule Mzee alishaachana na Mercy siku nyingi. Jack hakua sababu za Mengi kuachana na Mercy. Kamkuta Mzee wa watu ameshahama nyumba kitambo. Ndoa za kikristo kuvunjika ni ngumu na ndo maana mahakama imeivunja ndoa 2014 huko ila Mzee alishaachana na huyo Maza siku nyingi aisee.
 
Inamaana watoto wakubwa waliwakana wadogo na kuwaondoa mikono mitupu?
Yule Mzee wakati anaachana na Mercy aligawa mali zake three ways. One third akabaki nazo, one third akampa Mercy na one third akawapa watoto wakubwa. Ndo maana alitaka kuwapa one third aliyokua amebakiwa nazo Kwa Hawa wadogo. Siamini kama watapewa chochote after this drawn court battle
 
Walitupwa na kuondka mikono mitupu?
 
Walitupwa na kuondka mikono mitupu?
They were given 1/3 of the estate. Wengi wanamchukia Jack ila nawashangaa wanaume wanaowasapoti. Mara nyingi tukishafika uzeeni watoto huwa Wana chukua upande wa mama zao. Mlitaka yule Mzee ajifie mwenyewe aisee. Halafu Mercy alifika sehemu akasameheana na Mume wake. Alikubali ndoa imeisha. Na msio jua Mercy alitokea ukoo wa mangi. Means alikua tajiri toka wanaona. Je unayakua majivuno ya wanawake wenye fedha na kwao wanajiweza? Kama ujui oa huko ndo utakuja kuhadhithia. Nina ndugu wamerudi nyumbani kisa tu Wana uwezo wa kujihudumia na home kwao zipo. Wametalikiana na wame zao kisa hawawezi nyenyekea.
Jack was a legal wife to that Mzee and she has a right under the marriage act to inherit some of the estate especial their matrimonial house, and the kids have a share of their father estate. Wanawake wengi hapa wanashabikia kisa wivu tu. Angechaguliwa yeyete kati yao na mengi wala wasingekataa. Hawa watu wangerudi home wakakaa. Watoto wakubwa wakubali baba yao alifika sehemu akapenda na kumuona Jack, pia akazaa nae watoto wawili ambao ni ndugu zao. Mtihani bado hawamkubali Jack kama mama mdogo na ndo shida. Wakati mwingine while fighting mali zinateketea maana zinakua hazina usimamizi mzuri. By the time wanamaliza ugomvi no ITV, Bonite au whitedent. Then mnavuna Nini?
 
Ndo maana namsifu mtu kama Murdoch. Mali zake kaziweka kwenye trust ambayo watoto wake watapokea kiasi Cha fedha na Wana kura za uamuzi. At 93 ameona James Hana itikadi za conservative alizo nazo anataka kubadili terms of trust ili Lachlan abaki kuwa mwenye nguvu ya maamuzi juu ya mwelekeo wa media empire zake ila amekataliwa na watoto wengine wawili waliobaki.
 
They were given 1/3 of the estate. Wengi wanamchukia Jack ila nawashangaa wanaume wanaowasapoti. Mara nyingi tukishafika uzeeni watoto huwa Wana chukua upande wa mama zao. Mlitaka yule Mzee ajifie mwenyewe aisee. Halafu Mercy alifika sehemu akasameheana na Mume wake. Alikubali ndoa imeisha. Na msio jua Mercy alitokea ukoo wa mangi. Means alikua tajiri toka wanaona. Je unayakua majivuno ya wanawake wenye fedha na kwao wanajiweza? Kama ujui oa huko ndo utakuja kuhadhithia. Nina ndugu wamerudi nyumbani kisa tu Wana uwezo wa kujihudumia na home kwao zipo. Wametalikiana na wame zao kisa hawawezi nyenyekea.
Jack was a legal wife to that Mzee and she has a right under the marriage act to inherit some of the estate especial their matrimonial house, and the kids have a share of their father estate. Wanawake wengi hapa wanashabikia kisa wivu tu. Angechaguliwa yeyete kati yao na mengi wala wasingekataa. Hawa watu wangerudi home wakakaa. Watoto wakubwa wakubali baba yao alifika sehemu akapenda na kumuona Jack, pia akazaa nae watoto wawili ambao ni ndugu zao. Mtihani bado hawamkubali Jack kama mama mdogo na ndo shida. Wakati mwingine while fighting mali zinateketea maana zinakua hazina usimamizi mzuri. By the time wanamaliza ugomvi no ITV, Bonite au whitedent. Then mnavuna Nini?
Kwahiyo hoja yako ni kwamba
- Jack anastahili kupewa zaidi ya 1/3
-Hizo mali ulizotaja Jack ndo anayeweza kuzisimamia,

Kama ndiyo, kwanini?
 
Back
Top Bottom