Sasa hivi Mzee wako akafariki na vyote alivyovuna kawaachia ninyi ila ikatokea mpo mnagawa wakaja watoto wadogo wawili, Kwa kuwatazama tu unamuona dingi. Je utafanyaje hapo?Dalili za mwisho wa kufikiri! The apex court has ruled based on facts wewe unaleta hisia? Damu kuwatafuna ndio kitu gani?
Simtetei Jack naulizia tu wale jombi wawili je ni watoto wawili halali wa yule Mzee? Wakiteseka wakati ndugu zao wanaogelea kwenye fedha ni sawa?.
Sijayakataa maamuzi ya mahakama. Ila wale watoto wawili wakubwa Wana jukumu dhidhi ya wadogo zao. Wasome na kuishi fresh. Hapo ni bila kuangalia jack atafaidika vipi na hicho kitakachotolewa. Ndo maana mwanaume ukipelekwa ustawi wa jamii kama una uwezo utaprovide comfortable life Kwa watoto ambayo na mama atashare whether you like or not.
Baada ya maamuzi ya mahakama ni muda wa wakubwa kujenga, why because they are related. The same blood run through their vains if proven they are really reginald kids.