DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ngoma bado mtu akipeleka shauri mahakamani kajipanga kimtindo sio rahisi kudai mahakamani...Mosha kashtuka mchezo ila ajipange hata miaka 5 wanaweza kusumbuana mahakamani.

Mwanamke akidai mali kadhamiria sio kitoto hapo balaa tupu.
Kama anafunds za kutosha na yuko well documented 😂😂, na kitu huyo mzee ameshasanuka mapemaaa...
 
Yapo, mengine ni madogo ila yanakufanya uwe alert
 
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Ndoa ni contract, unazijua terms zao..?
 
Huo mkopo wa 500k$
500$= apt 1.3b tsh ni mkubwa sana huyu mama ana asset kadhaa hapa bongo land
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Kwani shida ipo wap?

While a marriage is still subsisting a partner may own a property separately..!

Sasa hapo ni suala la ushahid tu wa namna mali zilivopatikana.

Anaedai kuna co-owneship alete ushahid, vingnevyo sion kama mahakam imekosea.

Nadhan ukisoma kesi ya Bi Hawa Mohammed utaelewa vizur.
 
Haki ya Mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu
 
mke mwenza wa Nancy umekomafua mwenzio kwenye huu uzi
 
Sio kwa mida hii ya mitandao ya kijamii, zile posti zake zote ni evidence....
Ngoja tuone....
 
Masikiniii rohooo yanguu mm rohooo yanguuu m kuchapiwa n siri ya ndani nikoo pale kwa tarimoooo
 

Dawa Ni Davis amfungulie kesi huyo Malaya wake ya kuibia kampuni yao na akitaka kesi iwe tamu amuunganisha na hawara yake miti mingi.
...mpaka hiyo nyumba waliyojenga masaki aidai
 
Kilicho mkuta ngoso,kabinda nae Kaya kanyaga....Safi Sana ndugi majaji...
Your browser is not able to display this video.
 
Mchagga bila mtoto wa nje si mchagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…