DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Punguza mihemko.Kwani mlikuwa mnashindiliwa nyote?🤣
 
Bill gate kashindwa kutunza mke, Jeff kashindwa kutunza mke, Bill kashindwa kutunza mke, Davis nae, nimeamini hela hazitunzi mke,
 
kili nyingi sana ,ila kiubinadamu apewe kitu maana mwanamke alikuwa kama mdhamini ,mikopo mingi sana ambapo asset zingeuzwa basi na yeye angeathirika .apewe kidogo asepe
 
Huo mkopo wa 500k$
500$= apt 1.3b tsh ni mkubwa sana huyu mama ana asset kadhaa hapa bongo land
Sio huo tu ,hapo naona bil 1.7 sijui. Pia kama kampunia yao ilikuwa na mikopo karibu mil USD 5m nyingine ilifika $ mil 40+ ila walimaliza .

Na mwanamke alikuwa liable by personally guarantor .

Wamfikirie
 
Jaribu kuzungumzia wizi bidada aloufanya halafu rejea tena hii comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…