WasalitiNaona moto unafuka hapo soon, wale waliohama tayari wakirudi itakuaje?
WasaNaona moto unafuka hapo soon, wale waliohama tayari wakirudi itakuaje?
Masai ni swala la duniani athubutu aoneJe Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Atoe order Hangaya mwenyewe tujue siyo kujificha kwenye kifua anachokisifia cha mkwe wake#BREAKING: Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
#MillardAyoUPDATES
Soma Pia👇
Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika, Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...www.jamiiforums.com
Au mtamtumia Mafwele kumtekaHuyo jaji tutamgukuza kazi
USSR
Hii ni habari njema.Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
Soma Pia👇
Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika, Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...www.jamiiforums.com
Kana kiburi sana, atavimbisha kifua na kutokutii, kama tu hilo zuio sio sehemu ya maigizo yao.Je Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Noma sana!Wasa
Masai ni swala la duniani athubutu aone
Mbwa wanazidi kubweka tu,mtamuua Bibi wa Kizimkazi nyinyi!🤣🤣🤣🤣Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
Soma Pia👇
Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika, Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...www.jamiiforums.com
Lazima aheshimu kupitia 4R zake 🤣Je Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Hawezi huyooooo keshalamba asali ya uarabuni ni tamu sanaaaaa.Je Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?