Mahakama za Afrika zote zinastahili kuchomwa kama Kenya

Mahakama za Afrika zote zinastahili kuchomwa kama Kenya

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habari,

Machafuko ya Kenya yanatikana na ubabaishaji wa mihimili miwili ya Bunge na Mahakama.

Mahakama za Afrika zote hazisimamimii haki na zinaongizea kwa chuki na uonevu chini ya sheria za kurithi kutoka ukoloni zilizokandamizi hivyo kutumika kuwaonea wanyonge waliowengi kwa kisingizio cha kusimamia haki.

Hivyo ni bora mahakama zote Afrika zichomwe pamoja na sheria za kikoloni zilizorithiwa kwani wabunge na viongozi wengi wanazitumia kwa maslahi yao ili kuleta hatua nyingine ya kutunga sheria zetu wenyewe zinazoendana na tamaduni zetu na mazingira yetu siyo kutumia sheria za india na uingereza ambazo ni kandamizi na zipo kutukuza na kuuenzi ukoloni.

AMKA AFRIKA WAKATI NI HUU!
 
Back
Top Bottom