Mahakama za Kenya zatumia teknolojia ya Skype kuendesha mashtaka

skype hiyo...! cheap skype for everyone! Nothing to brag about if Uhuru can't make a videoconference with all his governors!

VS

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona bado tunaendelea na Skype tu hapo

OK wacha tuwe serious

Leta E Government Act ya Kenya then ndio tutajua kweli Kenya ipo serious kwenye E Government

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Tanzania Parliament passes e-government Bill
 
Umeacha kuleta mapicha ya screens jamaa wa "vipima joto vya airport"
ANyway wapi hapo umeaona Skype, na hata hivyo Skype is far better, especially Skype for business, nimeitumia sana.
Unachekesha, nyie eti mwaka jana ndio mumeanza kujadili bill ya e-government, ndo maana nilikuambia mpo nyuma yetu miaka ishirini.
E-gorvernment strategy ya Kenya iliandaliwa 2004, miaka 16 iliyopita ukiwa mdogo shuleni https://www.ict.go.ke/wp-content/uploads/2019/05/KENYA-E-GOVERNMENT-STRATEGY-2004.pdf

Amendment iliyohusisha e-government ilishafanyiwa kazi mwaka 2006 bado ukiwa mchanga shuleni
http://www.ist-africa.org/home/files/Kenya_ICT_Bill_Feb06.pdf
 
LOL firstly ya kwanza ni strategy, yaani hii ni bora hata policy, strategy ni kitu ambacho ni preliminary sana yaani tukiiweka kwenye muktadha wa human maturity ni kama ndio kwanza mimba ndo inaanza kutungwa

Huwezi fananisha na act ambayo ni sawa na mtu mzima na vitukuu


Hiyo amendment ni ya ICT ipo very general, haipo specific na wala haihusu mawasiliano ya serikali tu bali inasimamia mawasiliano ya aina zote nchi nzima

Our e government act inasimamia specifically teknohama ya serikalini tu na pia ina chombo chake maalum authority kinaitwa eGA | Mwanzo ambacho kipo responsible na mawasiliano ya taasisi za serikali tu.


Hizo strategy na ICT in general zenu hazina hadhi ya act unless hujui maana ya act

Sasa utaweza kumpeleka mtumishi alievunja sheria ya e government mahakamani kwa kutumia sheria inayoitwa "strategy"?
 

Unaonyesha ulivyo na mapungufu kwenye uelewa wa haya mambo wewe jamaa wa "vipima joto", siku zote kila kitu huanza na strategy paper, ndio huzaa sera hadi mpaka sheria na mengine yote. Kenya mwaka wa 2004, wewe ukiwa bado mtoto tulibuni ofisi ya Directorate of e-Government (DeG) ikiwa chini ya ofisi ya rais.
Nyie mwaka jana ndio mlianza kujadili e-government.
 
LOL leta Authority of your e government and the act which established that independent government entity, usiniletee mambo ya ICT wala strategy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LOL leta Authority of your e government and the act which established that independent government entity, usiniletee mambo ya ICT wala strategy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi unaelewa nini maana ya "Directorate of e-Government (DeG) under office of presidency" jamaa wa vipima joto.
 
Hivi unaelewa nini maana ya "Directorate of e-Government (DeG) under office of presidency" jamaa wa vipima joto.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Directorate?

Hiyo mliyonayo ninyi ni subdivision kutoka kwenye ofisi ya Rais, yaani hako ni kakitengo kadogo kaliko chini ya office ya Rais ambacho frequency zake zinakomea ndani ya fence ya ikulu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Man, authority ni power to enforce rules or give orders na hii yetu I asimamia takataka zote zinazohusu government kutoka central mpaka local government yaani kuanzia gadgets tunazotumia kukatia receipts za public toilets kwenyemmasoko na stands through (EFD) mpaka mawasiliano ya kiofisi ya ikulu

Ni. Ekuwekea tovuti yao hapo ujielimishe mwenyewe.
 

Yenu hiyo ni bill, ina maana kwamba ndio mnaanza kuijadili bado haijawa sheria.
Kwetu tulianza haya madude 2004 ukiwa bado mtoto wewe jamaa wa vipima joto.
Tuliweka Directorate kabisa iliyobuni ICT units kwa kila wizara, kamati ya mawaziri kwa ajili ya ICT, kamati ya makatibu kwa ajili ya ICT.
Na kama ni sheria, tunayo sheria inayosimamia mazagazaga yote ya ICT iliyobuniwa ukiwa bado mtoto, inaitwa "KENYA INFORMATION AND COMMUNICATIONS ACT"
 
MK254 bado nakutengenezea picture how big hii authority yetu inaoperate, Hakuna taasisi yoyote ya serikali isiokua na hii system

 
Kweli umeishiwa hadi umekwenda kuokoteza screenshots za kwenye Tweeter zote za 2019, ina maana muamko wenu ni wa juzi sana wakati sisi tulishapiga hatua miaka nyingi sana, jamaa wa vipima joto
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ najua nakupa kichapo heavy

Nimekuwekea links hizo ujiridhishe mwenyewe, halafu eGA yetu haisimamii tu bali inabuni mifumo pia
 
Mamlaka yetu ya eGA inaingia mpaka mikataba ya kimataifa

 
Kweli umeishiwa hadi umekwenda kuokoteza screenshots za kwenye Tweeter zote za 2019, ina maana muamko wenu ni wa juzi sana wakati sisi tulishapiga hatua miaka nyingi sana, jamaa wa vipima joto
Hata sisi haya mambo tuliyaanza siku nyingi tena katikati vitu serious kama matibabu kwa mtandao.

 
Mamlaka yetu ya eGA inaingia mpaka mikataba ya kimataifa


Haya madude unaleta ya jana 2019 wakati mliamka, mimi nikianza kukusanya wakati tunaanza 2004 ukiwa mtoto, nitajaza server za watu bure.
Anyway nitakuelewa maana mzuka ambao unao sasa hivi nakumbuka nilivyokua nawo wakati tunaanza kama nyie.
 
LOL hata dawa ya Corona kwa sasa ipo kwenye majaribio

Hakuna jambo linaanzwa bila majaribio au first phase, ninyi kwa mara ya kwanza mmeanza 2015 sisi tulishavuka huko toka 2012 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

2012 mlisema "mtajaribu" kuna tofauti kati ya "tutajaribu" na "tumejaribu" "tunajaribu", ukiangalia miaka yote sentensi zenu zote huwa "tuta"....tutaipiku Kenya.
Mimi nimekuletea taarifa za uzindunzi kabisa.....mzee wa vipima joto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…