Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
skype hiyo...! cheap skype for everyone! Nothing to brag about if Uhuru can't make a videoconference with all his governors!Kuwa serious wacha mzaha, yaani screen kwa ukuta ndio setup zinazokushangaza, hivyo mbona vitu vidogo sana ambavyo ukitaka nikuletee nitajaza server bure, labda nitafute kitu konki kama vile dubwana la Cisco.
Lakini kama tatizo lako ni screens, hizi hapa chache
![]()
![]()
![]()
![]()
VS