Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa.
Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye thamani kama mbuzi anatupwa jela miaka 3.
Mahakimu na Majaji huku Africa ni mithili ya Vibwengo mchundo. Hakuna fani ya kipumbavu, ya dhuluma na ya kizuzu kama ya Sheria.
Ukoloni haukuwahi kuondoka Africa, iliondoka rangi tu ya wakoloni. Sijui ndiomana inavaa zile hoods za kishetani, yaani hopeless.
Mahakama za Africa ni hopeless.
Pokeeni za uso "black is beauty yet you're dressed like an evil colonialist."
Wadiz