Mahakama za Tanzania Sio Kimbilio la HAKI

Mahakama za Tanzania Sio Kimbilio la HAKI

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,692
Reaction score
3,891
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana.

Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
 
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzani na Mahakimu wengi wa ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
Zilisha ingiliwa na siasa na wanasiasa, until massive reforms zifanyike
 
Mlidhani Rostam aliongea kwa kubahatisha? ila pia sisi raia tumechangia kuzifanya mahakama kuwa kitovu cha corruption na biashara ya kununua haki. serikali nayo inapitia humohumo
 
ndomana wakati mwingine watu wanatumia nguvu,kupigana kupata haki

ova
 
Tatizo nani ana walipa mishahara na marupurupu yake na kuwapandisha vyeo.
Case study yule aliye mfunga Sugu kwa kuandika jukumu ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom